tag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post5461188496138470774..comments2024-02-15T09:24:10.293-08:00Comments on DINA MARIOS (DM): WIKI ILIYOPITA ILIKUWA NA MAADHIMISHO YA KUZALIWA KWA WAFUATAO..DINA MARIOShttp://www.blogger.com/profile/08960821258486032855noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-91519157500467822452011-04-28T08:18:55.101-07:002011-04-28T08:18:55.101-07:00Mtoto wa Geha mashalaah
Mungu amtunzie handsome bo...Mtoto wa Geha mashalaah
Mungu amtunzie handsome boy wake
Dada Dina na wewe mtoto lini?
Katakuwa kazuri
Kama ka kike sikapatii jibu
Maana baba na mama wote wazuri
Birthday njemaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-29814202929575536712011-04-27T23:25:26.293-07:002011-04-27T23:25:26.293-07:00Pia my lovely son amesherehekea siku yake ya kuzal...Pia my lovely son amesherehekea siku yake ya kuzaliwa wiki iliyopita tarehe 20,namuomba Mola anikuzie mwanangu vema na kumpa maisha marefu pia. Hongera sana Gea na mwanao Mola awape maisha marefu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-22992834814201598132011-04-27T08:24:58.105-07:002011-04-27T08:24:58.105-07:00Pia mimi nimeadhimisha siku yangu ya kuzaliwa wik...Pia mimi nimeadhimisha siku yangu ya kuzaliwa wiki iliyopita kwa hiyo najipongeza kwa kuwa hapa nilipo na TUPO PAMOJA.MOJAONEhttps://www.blogger.com/profile/02135914310079265776noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-74634016663707309082011-04-27T08:21:41.303-07:002011-04-27T08:21:41.303-07:00Kwanini useme wa pili na wa mwisho?kwani Gea kasem...Kwanini useme wa pili na wa mwisho?kwani Gea kasema haongezi mtoto mwingine?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-81274268216017886692011-04-27T08:14:47.263-07:002011-04-27T08:14:47.263-07:00Happy birthday Gea wa Habibu, pia nakupa pole kwa ...Happy birthday Gea wa Habibu, pia nakupa pole kwa kazi yako ya hekaheka maana mh unakutana na mengi, be strong ma sister. M/z mungu akujaalie maisha marefu na yenye baraka tele.Ashura from Mbeyanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-37210278813108261422011-04-27T05:24:13.434-07:002011-04-27T05:24:13.434-07:00happy birthday Geya. najua ulikuwa Dodoma siku ya ...happy birthday Geya. najua ulikuwa Dodoma siku ya pasaka ukiusaka mkwanja. Keep it up. Mwanamke kujituma na ndipo utaona mafanikio yako. mungu akulinde na akupe maisha marefu yenye furaha.AminaMama Mboni(Bibi Chief)noreply@blogger.com