tag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post6595287485957222791..comments2024-02-15T09:24:10.293-08:00Comments on DINA MARIOS (DM): NILIPOSEMA SKU YA BDY YANGU NTAJIPA ZAWADI NILIMAANISHA..................DINA MARIOShttp://www.blogger.com/profile/08960821258486032855noreply@blogger.comBlogger78125tag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-83970926755762973732012-06-24T13:32:10.307-07:002012-06-24T13:32:10.307-07:00naomba nielekeze pa kupata hiyo dawa.shake offnaomba nielekeze pa kupata hiyo dawa.shake offAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-10266752405184845842012-06-24T13:30:26.223-07:002012-06-24T13:30:26.223-07:00jaman nitapata wapihiyo shake off.dina nijuze plsjaman nitapata wapihiyo shake off.dina nijuze plsAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-46572157926721833442012-06-06T01:57:45.837-07:002012-06-06T01:57:45.837-07:00sa dina unaendelea vp na hii issue yako ushapungua...sa dina unaendelea vp na hii issue yako ushapungua tayari?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-57139512593101108002012-03-05T05:35:43.737-08:002012-03-05T05:35:43.737-08:00Hongera sana dina kwa uamuzi uliochukua na mimi ni...Hongera sana dina kwa uamuzi uliochukua na mimi ninatatizo hilo plz nielekeze ntaipata wapi hiyo dawa ya kupunguza uzito shake offfatma tameemnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-33921788106472293012011-12-16T11:04:22.338-08:002011-12-16T11:04:22.338-08:00Hongera sana Dina kwa kufanya uamuzi huo, mie mwen...Hongera sana Dina kwa kufanya uamuzi huo, mie mwenzie pia nilikuwa ni mwembamba na nilikuwa napenda mwili wangu sana na sikuwa napenda unene hata kidogo, tatizo lilianza pale nilipoolewa sa hiv nina watoto wawili na mdogo ana 3 month, nina kilo 98, suala la uji na mtori nimeweka kando kabisa sitaki hata kuvisikia labda siku moja moja tu nakunywa white supu, natamani sana kupungua pls ukifanikiwa nasi tujuzane, mie shake off niliambiwa kwa kuwa nanyonyesha haitafaa kwani mtoto pia atapungua uzito.

kwa unayefahamu namna ya kuounguza tumbo na mikono naomba utujuze wote kupitia hapa ili angalau nasi tufaidike, na kuhusu suala la mmeng'enyo pia tunaomba msaada wako pia wa kutuelewesha.

Big up sana Dina kwa hatua hiyo, usjali ukiwa na imani kila kitu kitafanikiwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-12379126032779456542011-12-13T06:21:16.973-08:002011-12-13T06:21:16.973-08:00dina naomba contact za hapo tht dancers, nami nian...dina naomba contact za hapo tht dancers, nami nianze kwendaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-25872005697203035882011-12-10T06:31:59.356-08:002011-12-10T06:31:59.356-08:00wel sister umenitia moyo sana coz hata mimi nakuta...wel sister umenitia moyo sana coz hata mimi nakutana na mitihaniu kutokana na mwili wangu mi ni mnene mpaka sasa nina kilo 92 sijui naweza kupata wapi hiyo SHAKEOFF?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-34427341598581285302011-12-10T00:47:46.552-08:002011-12-10T00:47:46.552-08:00Kwakeli umejitaidi sana nami napenda kupungua n ni...Kwakeli umejitaidi sana nami napenda kupungua n nitaiga mfano wako. Hongera mama.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-44282969068593699122011-12-08T21:53:29.641-08:002011-12-08T21:53:29.641-08:00toa hiyo mada ya vyakula basi humu umpostie dina i...toa hiyo mada ya vyakula basi humu umpostie dina ili iweze kusaidia wengi..kila mtu akikuuliza anatakiwa kula nini aache nn itakuwa kazi sana...pleasssssdijjanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-85431107030756931172011-12-07T06:09:04.595-08:002011-12-07T06:09:04.595-08:00anonymous wa december 5 nahitaji kuwasiliana na we...anonymous wa december 5 nahitaji kuwasiliana na wewe, please toa namba yako au email addresAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-55301817667957151902011-12-05T02:37:20.254-08:002011-12-05T02:37:20.254-08:00Jamani kitu muhimu kujua kwenye uongezekaji wa mwi...Jamani kitu muhimu kujua kwenye uongezekaji wa mwili ni kujua wewe ni mmeng'enyaji wa chakula wa haraka,wa kati au wa taratibu, na kila mmojawapo ana vyakula anavyotakiwa kula, atakayehitaji kujua hilo nitamsaidia na jinsi ya kujitest, mimi imenisaidia sana unaweza ukadhani hutakiwi kula mafuta sana kumbe wewe ni aina inayotakiwa ule mafuta kwa wingiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-56227806331515794652011-12-04T23:13:04.102-08:002011-12-04T23:13:04.102-08:00Hongera sana Dina kwa juhudi za kurudia mwili wako...Hongera sana Dina kwa juhudi za kurudia mwili wako wa zamani,usiumie moyo kwaajili ya sisi binadamu kila mmoja huwa ana roho yake tofauti kuna wengine wameumbiwa makwazo kwa wenzao kwa hiyo wachukulie poa hukumu yao ni wao na Mungu na ukiwachunguza sana huwa wana roho za wivu achana nao angalia wale wanaokusupport unasonga nao mbele upo juu sana.Usiuachie tena mwili wako hapo ulipo inatosha wala usipungue sana mpendwa.Big upAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-77084678009518818462011-12-04T21:46:38.137-08:002011-12-04T21:46:38.137-08:00Hongera sana mrembo. Huo anaeuza SHAKE OFF unaweza...Hongera sana mrembo. Huo anaeuza SHAKE OFF unaweza kutupatia namba yake PleeeeeeeeeeeeseAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-90808892779884841932011-12-04T07:00:51.569-08:002011-12-04T07:00:51.569-08:00ongeraongerareyhttps://www.blogger.com/profile/00897546710866430029noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-56118834987146956672011-12-04T06:59:24.154-08:002011-12-04T06:59:24.154-08:00dina ongera nina tatizo kama lako tangia nimejifun...dina ongera nina tatizo kama lako tangia nimejifungua stazamiki nimetumia vitu vingi hadi hiyo shake off na spliner lakini naona bila labda nianze mazoezi ongera sanaaaa reyreyhttps://www.blogger.com/profile/00897546710866430029noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-33779536747487102632011-12-02T15:30:49.942-08:002011-12-02T15:30:49.942-08:00Kila la kheri utafika tu utakako uzuri pamoja na u...Kila la kheri utafika tu utakako uzuri pamoja na unene badovuto upo. Hata mm mikono bado unasmbiwa nyanyua vyuma ndo nimeanza juzi unyanyaji wa vyuma.kokusimahhttps://www.blogger.com/profile/14854756803139003964noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-50228303407815830302011-12-02T07:03:22.976-08:002011-12-02T07:03:22.976-08:00Yani dada uwe mnene uwe mwembaba ila una uso mzuri...Yani dada uwe mnene uwe mwembaba ila una uso mzuri sijapata ona, yani una kababy face! Hongera mumy!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-65197895661418091472011-12-02T05:12:46.131-08:002011-12-02T05:12:46.131-08:00Hongera kwa uamuzi, kitu chochote waweza kufanya u...Hongera kwa uamuzi, kitu chochote waweza kufanya ukidhamilia. mimi nilichukia unene, ila sikufikia uzito wako! nilifanya diet naweza kusema nyingi, napungua tena naongezeka. mwisho niliamua kutokula usiku, nitakula chakula chochote kila, ila mwisho ni saa 12 jioni, usiku nikizidiwa nakunya chai ya rangi(si mpenzi wa chai). nilifanya hivyo karibu miezi 12. toka wakati huo uzito wangu ni 58-62kg., ujauzito wa kwanza nilifikisha kg 70, lakini nilirudi pale pale, ya pili nilifikisha 80kg, navyo andika nina 61kg, na mtoto ana miezi 20. sijafanya diet yoyote. ila nimekuwa si mpenzi wa chips,mayai, vyakula vya mafuta. hata chakula mara nyingi nakula kiasi kidogo. all the best Dina, naamini Utaweza. unapendeza ukiwa na mwili wa wastani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-51415949670225526002011-12-02T05:09:31.407-08:002011-12-02T05:09:31.407-08:00hongera dina,umependeza....usichoke Mungu akutie n...hongera dina,umependeza....usichoke Mungu akutie nguvu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-49929754414797070902011-12-02T04:12:34.891-08:002011-12-02T04:12:34.891-08:00Achana nayo mpnz hayo ni maneno ya mkosaji, hakuna...Achana nayo mpnz hayo ni maneno ya mkosaji, hakuna kitu kinacho shindikana katika dunia, utarudi tu enzi za mwalimu dada ISHAALLAH.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-66481484476427105802011-12-01T23:50:17.913-08:002011-12-01T23:50:17.913-08:00Dina hongera kwa uamuzi ambao umeamua kuuchukua.
G...Dina hongera kwa uamuzi ambao umeamua kuuchukua.
Google 7 days cabbage soup wanasema inasaidia sana kupungua ila ni strict kwa siku saba. Unaweza kutengeneza mwenyeweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-65253917334712003062011-12-01T21:49:21.729-08:002011-12-01T21:49:21.729-08:00Nashukuru sana kwa maoni na changamoto...soon nita...Nashukuru sana kwa maoni na changamoto...soon nitaanza kukimbia.Mimi sijawahi kuwa mtu wa mazoezi hivyo nilianza kwanza na mazoezi mepesi ili mwili uzoee na kupata pumzi nilipofika naweza kuanza kukimbia.
Kwa unaetaka kuwasiliana na mimi kuhusu kupunguza mikono na tumbo email yangu ni dina_marios@yahoo.comDINA MARIOShttps://www.blogger.com/profile/08960821258486032855noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-51652868954619189912011-12-01T21:05:51.260-08:002011-12-01T21:05:51.260-08:00Tatizo lako unapenda kula kula. We unapambana na u...Tatizo lako unapenda kula kula. We unapambana na unene sasa kuku unakula wa nini? Kuku ni ndege mwenye mafuta mengi haijalishi amekaangwa au amechomwa! Halafu unasema chips unakula kwa hamu! Hamu ya nini sasa? Sioni sababu ya kuwa na hamu ya chips wakati uko kwenye mapambano.

Mi nafikiri ungejikita kwenye ulaji wa mbogamboga na matunda. Vitu hivyo vingekusaidia sana. Ukiongeza na mazoezi, ungepungua kwa muda mfupi sana.

Wote wanaokupa ushauri wanaonesha ni jinsi gani wanakupenda. Don't lose hopes.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-9807499752757285382011-12-01T16:59:46.609-08:002011-12-01T16:59:46.609-08:00Sikia Dina, achana na pombe na sisitizia sana diet...Sikia Dina, achana na pombe na sisitizia sana diet yako huku ukipiga bangi kwa wiiiiiingi kama fleva artists. Utarudia tu kama zamani. This will take you at least two months kurudia kama awali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1489302842205500697.post-27778209826377603092011-12-01T11:10:50.147-08:002011-12-01T11:10:50.147-08:00Hi Dina, nakupongeza sana kwa hatua hiyo. Mimi ni...Hi Dina, nakupongeza sana kwa hatua hiyo. Mimi ni mnene sana na nimeshakata tamaa ya kupungua, ila pia nakubaliana na wewe kuwa ili uweze kupungua inabidi wewe mwenyewe uamue kuwa sasa nataka nifanye nipungue, kelele za watu hazisaidii kama wewe mhusika huna determination. Mimi nadhani nakosa determination.
Juzi nimepewa contact ya jamaa mmoja ambae anafanya consultancy, nasikia anasaidia sana watu kupungua kwa muda mfupi. Anakupa list ya special diet na mazoezi, ukiweza nasikia kwa mwezi unapungua kuanzia kilo 10 hadi 14. Kama uko interested wasiliana nami kwa msg namba 0713-268809 ili nikupe namba yake. Ukimpigia yeye anakufata ulipo,Anonymousnoreply@blogger.com