Friday, January 13, 2012

BAADA YA MIAKA MINNE KUPITA

Toka mwaka 2007 kichwani kwangu hakujawahi kukaa nywele ndefu ni nywele fupi tu ndio zilitawala.Weaving fupifupi tu na kitu kilichonifanya niache nywele ndefu joto.Nilikuwa napata tabu sana na joto hili la Dar zikinigusa shingoni ndio kabisa nakerekwa.Basi jana nikajitoa mhanga nikatengeneza nywele ndefu na hapa nilikuwa najiandaa kwenda kwenye kitchen party ya Da Huu.


Na mpiga picha wetu alikuwa Shadee Weriss

Hizi ndio zilikuwa nywele za mwisho ndefu mimi kuweka kichwani.Haya ngoja nione kama nitaweza kukaa nazo maana huwa nashindwa.Kama vipi ntajikazanife na fashion.

29 comments:

  1. mimi nafikiri umbo la sura yako unapendeza zaidi na short hair styles, natural au weaves, ila hii hapana kwa kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hi Dina

      Umependeza naona watu wamekuzoea na nywele fupi,ndio maana wanaona upo tofauti haya twasubiri picha za da huu
      Maana nitafurahi sana nikiona picha zake coz shamim ameshaweka ila kwangu inakataa kufungua coz youtube imefungwa kwa hapa ofisin.

      Delete
  2. mimi nafikiri umbo la sura yako unapendeza zaidi na short hair styles, natural au weaves, ila hii hapana kwa kweli

    ReplyDelete
  3. mimi nafikiri umbo la sura yako unapendeza zaidi na short hair styles, natural au weaves, ila hii hapana kwa kweli

    ReplyDelete
  4. Hi Dina,
    Unependeza sana Mamii, Hilo gauni limekutoa haswa na nywele pia zimekupendeza saaana.
    Okay so Da hu.........!!!!!!!!! Ndio maana siku ile ya kipindi alikuwa anasema ana mambo mengi mwaka huu okay. Mwambie all the best.
    You are a good person Dina, big up. like you so much and your team.
    Take care

    ReplyDelete
  5. hizo ni nywele au nywele za bandia?hapo kilichokupendezesha ni gauni tu yaani gauni sio umetoka vizuri sana lakini nywele hapana ukichkulia tena ni za bandia kwanini watu mnajikana uasilia wenu?

    ReplyDelete
  6. hi Dinna,, smartness does no weather my dear,, weka nywele ndefu kwanza zinakupendezaaa,,

    ReplyDelete
  7. da dinna umependeza ila hazijakutoa kiviiilee....ungezijaza,zimekuwa nyepesi labda

    ReplyDelete
  8. Umependeza saaana yani dina umepyngua ile mbayaaaa endelea tu diet yako yani mi nilifikir hii picha ni ya zamani hahaa kuja kusoma maandishi nikaona,ni ya,sasa umeependeza saaaaana ombi wanja fanya kama zamani hii naona inapoteza uhalisi maashallah mtoto mzuri wewe utafikir horriyaaa

    Kimamii

    ReplyDelete
  9. WE MTOTO KM HATA KITANDANI MZURI KM SURA YAKO .......................UMETISHA


    MI NATANI KUKUONA LIVE MANA SIELEWI KM NI PICHA AU NDO ULIVO UTASEMA KITU CHA KUWEKA MDOMONI. HONESTLY SPEAKING AS A MAN KUPITIA PICHA NASIKIA KUKUTAMANI

    ReplyDelete
  10. weaving gani hilo dina,na naweza kulipata wapi?

    ReplyDelete
  11. da huu... na alivyokua anakana haya mpe hongera zake...umependeza

    ReplyDelete
  12. Hata mimi naona hazijamtoa kivileeeeeeee

    ReplyDelete
  13. uko poa tu though ungezijaza zingekaa vizuri zaidi, halafu dina anza kupaka lip stick bwana hata zile kavu uwe na muonekano mpa kuanzia nywele mpaka lips , too much lip shine

    ReplyDelete
  14. umekuwa kama kibibi hivi haujapendeza hata kidogooooooooooooo

    ReplyDelete
  15. Hi dina, umependeza sana naomba utuwekee picha za hiyo kitchen party ya da hu nasi tuone

    ReplyDelete
  16. Hey Dinna umependeza sn achana na watu wana vijiba vya roho!! Umetoka poa sana... Hilo weaving ni weaving gani nikalitafute?? Tafadhali nijibu

    ReplyDelete
  17. kwangu mimi Dina hujapendeza kabisaaaaaaaaa nywele zimekufanya umekuwa so dully na hilo gauni too much colour plus your skin colour umeonekana mweusi sana na gauni lenyewe kama oversize vile ila ndio hivyo huwa unapenda positive comment za kwamba umependeza and all stuff ila kiukweli NO NO NO NOOOOOOOOOOOOOOOOOOO PLZ

    ReplyDelete
  18. Yaaa,you look good for consumption

    ReplyDelete
  19. umependeza dina wangu..love yu much

    ReplyDelete
  20. tatizo lenu nyie wanawake wa africa, mnapenda nywele ndefu, lakini sio zakwenu za asili , mnaweka minywele bandia. kwani mkizikuza hizo nywele zenu za asili mlizozaliwa nazo halafu zikawa ndefu, hamuoni ingekuwa bora. mnatisha na hiyo minywele yenu bandia, haswa mnapoivua mkiwa na sisi wanaume zenu chumbani,

    ReplyDelete
  21. Mi naona hujapendeza na hizo nywele na make up ni kama umepaka rangi si yako kama umeweka majivu vile... achana na hiyo make up kama ni foundation tumia 'mocha' ndio colour yako... Halafu wanja nao ni kama umeuweka mpana sana kiasi kwamba umeharibu natural beauty yako. Mi naona you look fine na wanja kama ulivyopaka ktk hiyo picha ya chini ya mnyamamnyama. No offence though!

    ReplyDelete
  22. dina plz tuwekee picha za hiyo kitchen party ya da hu,ulipendeza na hiyo nguo na nywele pia!

    ReplyDelete
  23. Kama msomali vile... pendeza ingawaje huwa sifagilii mawigi
    Angela

    ReplyDelete
  24. ukweli nywele ndefu hazikupendezi my dear, fupi zinakutoa kutokana na muonekano

    ReplyDelete
  25. Dina weka tu nywele fupi mpenzi ndo unapendeza zaidi...

    ReplyDelete
  26. Cant comment si mpenzi wa fake hair... ... so umepata jibu bila shaka.

    ReplyDelete
  27. Ni kweli umependeza for consumption kama mdau hapo juu alivyosema.


    Swali za kizushi. Dina alituambia tukuulize maswali wakati wa birthday yako tukakuuliza maswali kibao ambayo uliahidi mwenyewe kwamba utayajibu hadi leo sijaona wajibu wala comments zako kuhusiana na yale maswali. Je unataka kuanza siasa za uwongo? Say something hata useme tu kwamba umebadilisha msimamo lakini kukaa kimya tu maana yake nini?

    Halafu mwambie Kibonde tabia yake ya kusafisha watu wanaonuka rushwa aache jana nilimsikia ktk kipindi cha jahazi akimsifia mamvi kwamba ni kiongozi safi wakati yeye ndo chanzo cha hali mbaya ya umeme tuliyoyonayo hadi sasa.

    ReplyDelete
  28. Dina we ni mzuri wa asili uweke nywele usiweke bado unapendeza hata ungevaa gunia we ni mzuri tu,maneno haya kila siku huwa namuambia rafiki yangu razaki ford cameraman wenu kuwa wewe ni mzuri kaza buti mama asikutishe na tena wakuache miaka elfu nane

    ReplyDelete