MGen INSUARANCE KUDHAMINI WOMEN IN BALANCE-KITCHEN PARTY GALA
Tulikuwa na kikao mchana wa leo na Mkurugenzi wa MGen Insuarence ambao wamekubali kuwa nasi katika safari hii.Kiukweli wameipokea vizuri na watakuwa nasi kwa muda mrefu tu kwa mwaka huu 2012
Nikapata picha na wadada ambao ni wafanyakazi wa hapo.Wote ni wasikilizaji wa leo tena,wadau wa blog na pia watahudhuria kitchen party gala jumamosi ya tarehe 28 January 2012.MGen wana bima inaitwa KINAMAMA hii ni maalumu kwa ajili ya wanawake ikoje? ntakujulisha zaidi endelea kupitia hapa.Ofisi zao zipo water front gorofa ya 3 kwa mahitaji yako yote ya bima.
jamani kwanini binadamu hamna subira kwanini utumie lugha ya ukali hivyo, kwani huyo Dina kazi ni kukaa na kuwajibu maswali yenu tu hana kazi nyingine, huwezi subiri uone kama atajibu au laa! jamani tujifunze kuwa waungwana jamani. naomba nikujibu kuwa kiingilio ni 30,000/= tu! haya tuliza ROHO yako.
kitchen part inafanyikia wapi Dina? na je kuna kiingilio au ina function vipi? naomba unijuze mwaya naweza tmbelea kama kiingilio siyo kikubwa sana.
ReplyDeletewewe dina me nakushangaa sana kila ukiulizwa kiingilio cha hiyo kitchen party haujibu sasa tukueleweje?
ReplyDeleteTujibu maana siku zimeisha

ReplyDelete