Toka mwaka 2007 kichwani kwangu hakujawahi kukaa nywele ndefu ni nywele fupi tu ndio zilitawala.Weaving fupifupi tu na kitu kilichonifanya niache nywele ndefu joto.Nilikuwa napata tabu sana na joto hili la Dar zikinigusa shingoni ndio kabisa nakerekwa.Basi jana nikajitoa mhanga nikatengeneza nywele ndefu na hapa nilikuwa najiandaa kwenda kwenye kitchen party ya Da Huu.
Na mpiga picha wetu alikuwa Shadee Weriss
Hizi ndio zilikuwa nywele za mwisho ndefu mimi kuweka kichwani.Haya ngoja nione kama nitaweza kukaa nazo maana huwa nashindwa.Kama vipi ntajikazanife na fashion.
Umependeza naona watu wamekuzoea na nywele fupi,ndio maana wanaona upo tofauti haya twasubiri picha za da huu Maana nitafurahi sana nikiona picha zake coz shamim ameshaweka ila kwangu inakataa kufungua coz youtube imefungwa kwa hapa ofisin.
Hi Dina, Unependeza sana Mamii, Hilo gauni limekutoa haswa na nywele pia zimekupendeza saaana. Okay so Da hu.........!!!!!!!!! Ndio maana siku ile ya kipindi alikuwa anasema ana mambo mengi mwaka huu okay. Mwambie all the best. You are a good person Dina, big up. like you so much and your team. Take care
hizo ni nywele au nywele za bandia?hapo kilichokupendezesha ni gauni tu yaani gauni sio umetoka vizuri sana lakini nywele hapana ukichkulia tena ni za bandia kwanini watu mnajikana uasilia wenu?
Umependeza saaana yani dina umepyngua ile mbayaaaa endelea tu diet yako yani mi nilifikir hii picha ni ya zamani hahaa kuja kusoma maandishi nikaona,ni ya,sasa umeependeza saaaaana ombi wanja fanya kama zamani hii naona inapoteza uhalisi maashallah mtoto mzuri wewe utafikir horriyaaa
WE MTOTO KM HATA KITANDANI MZURI KM SURA YAKO .......................UMETISHA
MI NATANI KUKUONA LIVE MANA SIELEWI KM NI PICHA AU NDO ULIVO UTASEMA KITU CHA KUWEKA MDOMONI. HONESTLY SPEAKING AS A MAN KUPITIA PICHA NASIKIA KUKUTAMANI
uko poa tu though ungezijaza zingekaa vizuri zaidi, halafu dina anza kupaka lip stick bwana hata zile kavu uwe na muonekano mpa kuanzia nywele mpaka lips , too much lip shine
kwangu mimi Dina hujapendeza kabisaaaaaaaaa nywele zimekufanya umekuwa so dully na hilo gauni too much colour plus your skin colour umeonekana mweusi sana na gauni lenyewe kama oversize vile ila ndio hivyo huwa unapenda positive comment za kwamba umependeza and all stuff ila kiukweli NO NO NO NOOOOOOOOOOOOOOOOOOO PLZ
tatizo lenu nyie wanawake wa africa, mnapenda nywele ndefu, lakini sio zakwenu za asili , mnaweka minywele bandia. kwani mkizikuza hizo nywele zenu za asili mlizozaliwa nazo halafu zikawa ndefu, hamuoni ingekuwa bora. mnatisha na hiyo minywele yenu bandia, haswa mnapoivua mkiwa na sisi wanaume zenu chumbani,
Mi naona hujapendeza na hizo nywele na make up ni kama umepaka rangi si yako kama umeweka majivu vile... achana na hiyo make up kama ni foundation tumia 'mocha' ndio colour yako... Halafu wanja nao ni kama umeuweka mpana sana kiasi kwamba umeharibu natural beauty yako. Mi naona you look fine na wanja kama ulivyopaka ktk hiyo picha ya chini ya mnyamamnyama. No offence though!
Ni kweli umependeza for consumption kama mdau hapo juu alivyosema.
Swali za kizushi. Dina alituambia tukuulize maswali wakati wa birthday yako tukakuuliza maswali kibao ambayo uliahidi mwenyewe kwamba utayajibu hadi leo sijaona wajibu wala comments zako kuhusiana na yale maswali. Je unataka kuanza siasa za uwongo? Say something hata useme tu kwamba umebadilisha msimamo lakini kukaa kimya tu maana yake nini?
Halafu mwambie Kibonde tabia yake ya kusafisha watu wanaonuka rushwa aache jana nilimsikia ktk kipindi cha jahazi akimsifia mamvi kwamba ni kiongozi safi wakati yeye ndo chanzo cha hali mbaya ya umeme tuliyoyonayo hadi sasa.
Dina we ni mzuri wa asili uweke nywele usiweke bado unapendeza hata ungevaa gunia we ni mzuri tu,maneno haya kila siku huwa namuambia rafiki yangu razaki ford cameraman wenu kuwa wewe ni mzuri kaza buti mama asikutishe na tena wakuache miaka elfu nane
mimi nafikiri umbo la sura yako unapendeza zaidi na short hair styles, natural au weaves, ila hii hapana kwa kweli
ReplyDeleteHi Dina
DeleteUmependeza naona watu wamekuzoea na nywele fupi,ndio maana wanaona upo tofauti haya twasubiri picha za da huu
Maana nitafurahi sana nikiona picha zake coz shamim ameshaweka ila kwangu inakataa kufungua coz youtube imefungwa kwa hapa ofisin.
mimi nafikiri umbo la sura yako unapendeza zaidi na short hair styles, natural au weaves, ila hii hapana kwa kweli
ReplyDeletemimi nafikiri umbo la sura yako unapendeza zaidi na short hair styles, natural au weaves, ila hii hapana kwa kweli
ReplyDeleteHi Dina,
ReplyDeleteUnependeza sana Mamii, Hilo gauni limekutoa haswa na nywele pia zimekupendeza saaana.
Okay so Da hu.........!!!!!!!!! Ndio maana siku ile ya kipindi alikuwa anasema ana mambo mengi mwaka huu okay. Mwambie all the best.
You are a good person Dina, big up. like you so much and your team.
Take care
hizo ni nywele au nywele za bandia?hapo kilichokupendezesha ni gauni tu yaani gauni sio umetoka vizuri sana lakini nywele hapana ukichkulia tena ni za bandia kwanini watu mnajikana uasilia wenu?
ReplyDeletehi Dinna,, smartness does no weather my dear,, weka nywele ndefu kwanza zinakupendezaaa,,
ReplyDeleteda dinna umependeza ila hazijakutoa kiviiilee....ungezijaza,zimekuwa nyepesi labda
ReplyDeleteUmependeza saaana yani dina umepyngua ile mbayaaaa endelea tu diet yako yani mi nilifikir hii picha ni ya zamani hahaa kuja kusoma maandishi nikaona,ni ya,sasa umeependeza saaaaana ombi wanja fanya kama zamani hii naona inapoteza uhalisi maashallah mtoto mzuri wewe utafikir horriyaaa
ReplyDeleteKimamii
WE MTOTO KM HATA KITANDANI MZURI KM SURA YAKO .......................UMETISHA
ReplyDeleteMI NATANI KUKUONA LIVE MANA SIELEWI KM NI PICHA AU NDO ULIVO UTASEMA KITU CHA KUWEKA MDOMONI. HONESTLY SPEAKING AS A MAN KUPITIA PICHA NASIKIA KUKUTAMANI
weaving gani hilo dina,na naweza kulipata wapi?
ReplyDeleteda huu... na alivyokua anakana haya mpe hongera zake...umependeza
ReplyDeleteHata mimi naona hazijamtoa kivileeeeeeee
ReplyDeleteuko poa tu though ungezijaza zingekaa vizuri zaidi, halafu dina anza kupaka lip stick bwana hata zile kavu uwe na muonekano mpa kuanzia nywele mpaka lips , too much lip shine
ReplyDeleteumekuwa kama kibibi hivi haujapendeza hata kidogooooooooooooo
ReplyDeleteHi dina, umependeza sana naomba utuwekee picha za hiyo kitchen party ya da hu nasi tuone
ReplyDeleteHey Dinna umependeza sn achana na watu wana vijiba vya roho!! Umetoka poa sana... Hilo weaving ni weaving gani nikalitafute?? Tafadhali nijibu
ReplyDeletekwangu mimi Dina hujapendeza kabisaaaaaaaaa nywele zimekufanya umekuwa so dully na hilo gauni too much colour plus your skin colour umeonekana mweusi sana na gauni lenyewe kama oversize vile ila ndio hivyo huwa unapenda positive comment za kwamba umependeza and all stuff ila kiukweli NO NO NO NOOOOOOOOOOOOOOOOOOO PLZ
ReplyDeleteYaaa,you look good for consumption
ReplyDeleteumependeza dina wangu..love yu much
ReplyDeletetatizo lenu nyie wanawake wa africa, mnapenda nywele ndefu, lakini sio zakwenu za asili , mnaweka minywele bandia. kwani mkizikuza hizo nywele zenu za asili mlizozaliwa nazo halafu zikawa ndefu, hamuoni ingekuwa bora. mnatisha na hiyo minywele yenu bandia, haswa mnapoivua mkiwa na sisi wanaume zenu chumbani,
ReplyDeleteMi naona hujapendeza na hizo nywele na make up ni kama umepaka rangi si yako kama umeweka majivu vile... achana na hiyo make up kama ni foundation tumia 'mocha' ndio colour yako... Halafu wanja nao ni kama umeuweka mpana sana kiasi kwamba umeharibu natural beauty yako. Mi naona you look fine na wanja kama ulivyopaka ktk hiyo picha ya chini ya mnyamamnyama. No offence though!
ReplyDeletedina plz tuwekee picha za hiyo kitchen party ya da hu,ulipendeza na hiyo nguo na nywele pia!
ReplyDeleteKama msomali vile... pendeza ingawaje huwa sifagilii mawigi
ReplyDeleteAngela
ukweli nywele ndefu hazikupendezi my dear, fupi zinakutoa kutokana na muonekano
ReplyDeleteDina weka tu nywele fupi mpenzi ndo unapendeza zaidi...
ReplyDeleteCant comment si mpenzi wa fake hair... ... so umepata jibu bila shaka.
ReplyDeleteNi kweli umependeza for consumption kama mdau hapo juu alivyosema.
ReplyDeleteSwali za kizushi. Dina alituambia tukuulize maswali wakati wa birthday yako tukakuuliza maswali kibao ambayo uliahidi mwenyewe kwamba utayajibu hadi leo sijaona wajibu wala comments zako kuhusiana na yale maswali. Je unataka kuanza siasa za uwongo? Say something hata useme tu kwamba umebadilisha msimamo lakini kukaa kimya tu maana yake nini?
Halafu mwambie Kibonde tabia yake ya kusafisha watu wanaonuka rushwa aache jana nilimsikia ktk kipindi cha jahazi akimsifia mamvi kwamba ni kiongozi safi wakati yeye ndo chanzo cha hali mbaya ya umeme tuliyoyonayo hadi sasa.
Dina we ni mzuri wa asili uweke nywele usiweke bado unapendeza hata ungevaa gunia we ni mzuri tu,maneno haya kila siku huwa namuambia rafiki yangu razaki ford cameraman wenu kuwa wewe ni mzuri kaza buti mama asikutishe na tena wakuache miaka elfu nane
ReplyDelete