Monday, January 23, 2012

KITCHEN PARTY YA DA HUU


Da Huu akiingia ukumbini kwa manjonjo dada

keki ikakatwa.....

Mama mama mama,mama huyoooooooooooooooo!

Hapa lilichezwa goma la kizaramo......

Ukitaka picha zaidi ingia hapa.


16 comments:

  1. dina acha uvivu dah........ da huu shoga ako na mfanyakazi mwenizo shuti kikipndi kimoja ivo tulitegemea picha zako wewe zitakuwa tofauti sana na za Shamimu lakini ndo kwanzaaaaaaaaa watuelekeza kweke kwa picha zaidi wat the f****k is that

    ReplyDelete
  2. da huu ni mrembo jamani na sauti yake inaendana na yeye...

    ReplyDelete
  3. wala sio uvivu ni wivu huuuuuu!

    ReplyDelete
  4. hongera da huu, dunia ni yako.........chagua kuwa na upendo wa dhati, chagua kudumu katika ndoa yako!

    ReplyDelete
  5. Husna looking prey, and the dress yan ni super, na shuhli pia ilikuwa nzuri, i can see everybody ali ejnoy, congrate and have a happy marriage life......

    ReplyDelete
  6. mhhh Dina Tafadhali hiii ya leo sijaipenda!wewe ulikua kwenye shuguli kwanini hukupiga picha zako yani umekopy pest from Shamim.Mimi ni mdau wako kwa sana na hua nakusupport sana ila kwa hili Nooooo ways hata kama ni u-busy ungetwambia tuu wadauu eee I will post you later picha za my coligue. hizi ni za shamim tulishaziona twataka zako weweeee.
    mhhhh hapooo Nooooo ways umeharibu.
    Then jingine ulipoanza mwaka ulituomba radhi wadau wako kua utajitahidi ku-update post zako sasa whats goes On itabidi uje tena kutuomba radhi khaaaa wiki hujabadili post hata blog changa zinabadili.
    watch out mamiii usijisahau ki hivyoooooo

    ReplyDelete
  7. Jamani kwa nini watu mnapenda kuhukumu bila sababu???unafaidika nini?yaani nishiriki kwa mengi katika kuiandaa shughuli hii nije kuona WIVU Kuweka picha hahahahahahahahahahah duuuh???anyways kila mtu na upeo wake katika kutathmini jambo.
    Mimi nimekuwa mkweli tu kuwa picha zaidi zipo kwa shamim maana ndie aliepiga picha ulitaka niwadanganye kuwa mimi ndio nimepiga!!!!!!Sikuweza kupiga picha camera yangu ilizima charge hata kabla sijafika shughulini.Mbona alipograduate chuo picha zake niliweka???!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. muongo una wivu tu looh yatakushinda!!!
      ndo maana huolew maungaembe

      Delete
    2. mwanga mkubwa wewe !!! hehehehe halooooo UTAJIJU !!!

      Delete
  8. UNAONA SASA UNAONA???????? KAMERA ILIZIMA CHAJA KABLA HUJAFIKIA UKUMBINI HUKUJUA KM KUNA SHUGHULI SHUTI UNASEMA UMEIANDAA NA KUSHIRIKI KTK MENGI?? USAHAU KUCHAJI KAMERA KWENYE SHUGULI KM HII YA MFANYAKAZI MWENZIO WA KIPINDI KIMOJA??????? UNAJUA MWENYEWE WHY U DID IT ILA WAT U ARE SAYING WE REAL DNT BUY IT.
    ETI MBN ALIPOGRADUET NILIWEKAMPICHA WEWE....GRADUU NA HATUA YA M2 KUOLEWA NI MATUKIO 2 TOFAUTI. .HUKUJISIKIA TU KUPIGA PICHA UNAWEZA UKAWA HUNA WIVU WALA NIA MBAYA I KNW THAT I REAL DO ILA HUKUTAKA TU KUPIGA PICHA

    ReplyDelete
  9. Da Huu umependeza sana tena mno, itunze ndoa yako ikutunze mwaya.

    Dina hawa wenye maneno ya kulaumu achana nao kwani binadamu huwezi ghafirika? na picha kwani ilikuwa lazima upige wewe? kama Shamim kapiga na wameweza kuona shida iko wapi? kuwa kipindi/ofisi moja sio sababu jamani tusijifanye malaika kwakuwa yako kwa mtu mwingine je sisi ni perfect kwa mates zetu? wengine hata hizo shughuli tu hamshiriki lkn mnaleta ashuo za punda tu hapa kwakuwa yako kwa Dina? kuna kosa gani ku-copy na ku-paste ikiwa ameruhusiwa na mwenye blog? eh jamani tujaribu kuona na wengine ni binadamu kama mimi na wewe sio tu kila kitu kusema, sioni kilichoharibika kwani kumbukumbu ipo nzuri tu sana. Tujifunze kuangalia mada inasemaje nafikiri hapa ilikuwa muhimu kumpongea Husna na sio kuangalia Dina kafanya nini jamani... kulaumu kutwa ni kujiongezea mizigo iso sababu na kuonyesha udhaifu wa kisaikolojia maana kazi kutafuta kumtoa kasoro mwenzio na kumnyooshea kidole, na hapo kasema na kuomba raddhi camera iliisha charge na je asingesema? DINA MDOGO WANGU UBINADAMU KAZI NDO HAYA SASA, inua shingo, macho mita 100 songa mbele, mengi yatasemwa sana tu lkn ya msingi yachukue mengine waachie wenyewe.... Kaza buti mama love you xoxo

    Mama FM - Ar

    ReplyDelete
  10. DINA correction sio Wivu Mdau hapo juuuu amesema uvivu na sio wivu! ila to be honest hukufanya vizuri! jaribu kua muangalifu kwenye mambo unaweza ona ni jambo dogo kwako kumbe ni kubwa kwa mwingine. sasa hukuweka camera charger kwa nini? Yahhh ulisahau well sio shida ila next time jaribu kua open nadhani hata uneanza na kuwaambia wasomaji wako wengi kwamba nilipata dharura na camera yangu isingetokea malumbano haya yooote.ila pole siku hazilingani kunakuteleza sometimes ndio kujifunza kila lakheri.

    ReplyDelete
  11. Dina mwaya usijali mi hata nilikuwa sijaziona ndo nimeziona kwako asante nimepata habari kwa njia ya picha.ubarikiwe kip doing ya thing gal

    ReplyDelete
  12. mimi kila siku nasema huyu DINA ana roho mbaya ila mauamini na huwa mara zingine anaficha comment zangu any way mi sijali muhimu yeye kasoma , BIBIE DINA ACHA ROHO MBAYA NA KUVAA NGOZI YA KONDOO WAKATI WEWE NI MBWAMWITU .... haloooo utajiju mwenzio ndo anaolewa utabaki peke yako duniani ..nyooooo

    ReplyDelete
  13. alikasirika alimwambia dahuu kuwa anaolewa bado mdogo alikuwa anataka azini kama yy

    ReplyDelete