Thursday, January 19, 2012

UPDATES:WOMEN IN BALANCE--- KITCHEN PARTY GALA



Napita hapa kukupa updates kwa ajili ya siku hiyo jumamosi ya tarehe 28 january 2012.

wengi mmeulizia kuhusu mavazi kwa sababu hii sio sherehe ni kama mafunzo yaliyo katika mfumo wa burudani hatuna sare wala vazi rasmi.Vaa vizuri tu upendeze kama mwanamke wa kisasa.
MBURUDISHAJI wetu siku hiyo atakuwa Da Nyota
Muda ni kuanzia saa 8 mchana mpka saa 2 usiku.Nasisitiza jamani mzingatie MUDA maana tukisema saa nane mchana kuna watakao kuja saa kumi.Ukiwahi na sisi tunawahi kuanza mazungumzo yetu na kumaliza kwa muda tuliopanga.Kumbuka kuna muda wa maswali na majibu na kupeana ushauri.

4 comments:

  1. wakati unaandaa hiyo kitchen party msikilize na comments za huyu mzee. bofya hapa
    http://bukobawadau.blogspot.com/search?updated-max=2012-01-16T14:12:00-08:00&max-results=300

    ReplyDelete
  2. Na kweli Waafrika tuna tatizo la kuheshimu muda. Tena si hapa TZ tu. Kila mahali Afrika nilikofika kuchelewa ni kitu cha kawaida tu. Cha ajabu ni kuwa badala ya kuiga tabia nzuri kwa wazungu, kama vile uchapakazi, tabia ya kujitolea na kuheshimu muda ('punctuality'), tunaiga upuuzi wa kuregesha suruali na kuonyesha chupi zetu au dada zetu kukaa nusu uchi mbele ya baba na wajomba zao.

    ReplyDelete
  3. Na kweli Waafrika tuna tatizo la kuheshimu muda. Tena si hapa TZ tu. Kila mahali Afrika nilikofika kuchelewa ni kitu cha kawaida tu. Cha ajabu ni kuwa badala ya kuiga tabia nzuri kwa wazungu, kama vile uchapakazi, tabia ya kujitolea na kuheshimu muda ('punctuality'), tunaiga upuuzi wa kuregesha suruali na kuonyesha chupi zetu au dada zetu kukaa nusu uchi mbele ya baba na wajomba zao.

    ReplyDelete
  4. Kweli muda ni muhimu, tungelijua hilo tungelikuwa mbali sana

    ReplyDelete