Thursday, January 12, 2012

SIKU FLAN HIVI ILIYOPITA....

Mimi,Aisha na Dataz Mimi na ma friend Fancy
Fancy na mimi
Mimi na Shadee

Mimi,Shadee na Asma.

Hii ilikuwa ofisini kulikuwa kuna party ya miaka 50 ya uhuru.

12 comments:

  1. Hongereni...mlipendeza sana.
    Kuanzia kichwani hadi unyayoni..nimependa rangi za nguo na viatu. We mkali ubishi hamna ur my fashionista na shadee whaoooh love her swagger...da Dina endelea kutupia mavitu ya ukweli love love love u...
    Unapendeza kwa kweli co kama binti fulani....

    Ushauri; plz usije ukaja pata tamaa ukachange ngozi yako, mungu amekubaliki una ngozi nzuri sana. Mine ni brown lakini ningependa kama ningekuwa na kama yako.xoxo

    ReplyDelete
  2. dina umepungua kidogo, umependeza my d,

    ReplyDelete
  3. wewe dina unapenda kuuza sura huna lolote wala hupendezi

    ReplyDelete
  4. NICE SHOES SHADEE!!

    ReplyDelete
  5. sio sir mlipendeza sn nawapenden nyote jins mlivyo lv u mmwaaaaaaaa baaaaaaaaaaas

    ReplyDelete
  6. Dinna wewe ni mzuri na unapendeza sana wanaokusema vibaya ni wivu tu unawasumbua.

    ReplyDelete
  7. Dina upo juu hakuna ubishi rangi yako ya kuzaliwa inakupendezesha sana nakupenda sana ww mtoto

    ReplyDelete
  8. DINA WEWE NI MZURI ILA ACHA KUVAA NGUO FUPI , VAA NGUO NDEFU VITENGE,UTAPENDEZA ZAIDI HUU NI USHAURI TU SI LAZIMA UUFUATE

    ReplyDelete
  9. Dina vikuku vya nini tena mama..?waachie watoto wasiojua maana ya hivyo vikuku...au na wewe ndiyo hivyoo??

    ReplyDelete
  10. hajira baba utata ...@ama

    ReplyDelete
  11. mmependeza sana.

    ReplyDelete