Hongereni...mlipendeza sana. Kuanzia kichwani hadi unyayoni..nimependa rangi za nguo na viatu. We mkali ubishi hamna ur my fashionista na shadee whaoooh love her swagger...da Dina endelea kutupia mavitu ya ukweli love love love u... Unapendeza kwa kweli co kama binti fulani....
Ushauri; plz usije ukaja pata tamaa ukachange ngozi yako, mungu amekubaliki una ngozi nzuri sana. Mine ni brown lakini ningependa kama ningekuwa na kama yako.xoxo
Hongereni...mlipendeza sana.
ReplyDeleteKuanzia kichwani hadi unyayoni..nimependa rangi za nguo na viatu. We mkali ubishi hamna ur my fashionista na shadee whaoooh love her swagger...da Dina endelea kutupia mavitu ya ukweli love love love u...
Unapendeza kwa kweli co kama binti fulani....
Ushauri; plz usije ukaja pata tamaa ukachange ngozi yako, mungu amekubaliki una ngozi nzuri sana. Mine ni brown lakini ningependa kama ningekuwa na kama yako.xoxo
dina umepungua kidogo, umependeza my d,
ReplyDeletewewe dina unapenda kuuza sura huna lolote wala hupendezi
ReplyDeleteNICE SHOES SHADEE!!
ReplyDeletesio sir mlipendeza sn nawapenden nyote jins mlivyo lv u mmwaaaaaaaa baaaaaaaaaaas
ReplyDeleteDinna wewe ni mzuri na unapendeza sana wanaokusema vibaya ni wivu tu unawasumbua.
ReplyDeleteDina upo juu hakuna ubishi rangi yako ya kuzaliwa inakupendezesha sana nakupenda sana ww mtoto
ReplyDeleteDINA WEWE NI MZURI ILA ACHA KUVAA NGUO FUPI , VAA NGUO NDEFU VITENGE,UTAPENDEZA ZAIDI HUU NI USHAURI TU SI LAZIMA UUFUATE
ReplyDeleteDina vikuku vya nini tena mama..?waachie watoto wasiojua maana ya hivyo vikuku...au na wewe ndiyo hivyoo??
ReplyDeletehajira baba utata ...@ama
ReplyDeletemmependeza sana.
ReplyDeletekila siku nasema we mzuri
ReplyDelete