SIKU ZIMEKWISHA SANA NA JUMAMOSI YA TAREHE 28 JANUARY INAKARIBIA KWA ILE KITCHEN PARTY GALA.WADADA NA WANAWAKE KUANZIA MIAKA 18 NA KUENDELEA TUNAKUTANA NA KUJADILI CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOTUKABILI KATIKA MAISHA/ MAHUSIANO/NDOA.KUNA MENGI YA KUJIFUNZA NA KUKUMBUSHANA.KIINGILIO NI TSH 30,000 KWA MTU MMOJA NA KAMA UNAHITAJI MEZA WEWE NA WATU WAKO WA KARIBU NI TSH 300,000(meza ya watu 10)
MUDA KUANZIA SAA 8 MCHANA MPAKA SAA 2 USIKU(Jamani kina mama mzingatie muda)CHAKULA NA VINYWAJI VITATOLEWA
lazima niatend,
ReplyDeleteItakua sa ngapi?au mpaka tiket zianze kupatikana ndo mda utajulikana?
ReplyDeletehongera dear, but ushauri hao watu kumi weka punguzo ili watu wakusanyane kuja kumi kumi utatengeneza pesa nyingi. kila la kheri.
ReplyDeleteKokusima
si ya kukosa hii, tiketi zitapatikana wapi??
ReplyDeleteAT LAST IMEFIKA thanks ngoja tusubiri ticket na kuomba uzima S.
ReplyDeleteDah thanx nilikua ninaisubiria kwa hamu ila sasa nina harusi ya kaka yangu siku hiyohiyo ninaomba kujua ni saa ngapi mpendwa
ReplyDeleteDuh na Bi Chau atakuwepo sipati picha itakavokuwa yani I can't wait loh!
ReplyDeletekwa nini kila kitu wamama tu?kwa nini na wababa nao wasihusishwe pia?nao wajifunze vilevile.
ReplyDeleteNimeipenda sana hii Dina nifanye nipate tiketi mapema kipenzi big up sana always nakukubali
ReplyDeleteTheme ni nini bi dada, au twavaa tu chochote?
ReplyDeletedina hakuna meza ya watu watano? as a group tungependa hiyo kama ipo
ReplyDeletekama utaona muhimu na wewe itundike kwenye blog yako. mdau.
ReplyDeletehttp://bukobawadau.blogspot.com/2012/01/wadau-kama-mlivyoomba-turudie-hii-video.html
Mambo Dina, Yaani this time hatutaki kukosa ila mama mbona una namba za mtandao mmoja tu. hauna tigo line?? pili naona kama maelezo hayajitoshelezi hivi na matangazo mamii mbona kidogo wapo wanaotaka ila hawajui maana si wote watumiaji wa mtandao hapo cloud wakusupport hata kwa tangazo mamii maana unafanya kitu cha maana siku hizi ndoa ngumu jamani na wezi wa waume wengi sana.
ReplyDeletekheri inshallah mungu atakuwa nasi.
we dina kama kazi ya blog imekushinda acha kuupdate hadi ukose kazi, unatuboa sa na kila tukifungua hamna ishu, kama uko busy acha kublogua unatupotezea mda
ReplyDeletehongera kwa kufanikisha maandalizi dina. nitashiriki mungu akinipa uzima.
ReplyDeletekatika utafiti wangu usio rasmi,nimegundua asilimia karibia 60 ya wanawake wanaowafunda wenzao mambo ya ndoa na namna ya kuishi na mwanume wao wameshaachika au hawajawahi kuolewa rasmi ni wahangaikaji tu wa mjini,we chunguza utaniambia
ReplyDeleteMdau uliesema asilimia 60,wahangaikaji tu wa mjini ina maana gani?uwa awana ajira au?sijakuelewa hapo.
ReplyDeleteDina wewe mwenyewe hujaolewa sasa sijui unataka kutufunda nini,au hela zutu tu unataka kula,kwanza umeiga Idea ya Joyce Kiria sema yako ndo hivyo unajifanya unaelimisha na kutaka kusaidia wanawake huna lolote
ReplyDeleteKWELI KUSOMA KUELEWA KUKESHA MBWEMBWE KWANI HUJASOMA WAZUNGUMZAJI WA SIKU HIYO NI KINA NANI MPAKA UMSEME DINA WA WATU???WATU WIVU TU!!!DINA YEYE KAANDAA TU NA WAHUSIKA NI WOTE WALIOOLEWA NA WASIIOLEWA NYOOOOOOOOO
ReplyDeleteKWANZA HUYO JOYCE ANALIPI LA KUIGWA HALAFU HUWA NACHEKA SANA NIKIPITA MITANDAONI ANAVYOPIGIWA DEBE JAMANI YA UKWELI INAJULIKANA.TENA UKOME KUMLINGANISHA DINA WETU NA JOYCE.TENA JOYCE ALISHASEMA MARA KADHAA KAZI ALIJIFUNZIA CLOUDS WALIMU WAKE DINA NA SOPHIA KESI SASA WEWE ONGEA USIYOYAJUA KALAGABAHO
Just ushauri tuu! please uwe unaweka recent updates zinatokea kwenye jamii hasa matukio muhimu yanayojiri nchini.
ReplyDelete