Katika kuzunguka kukutana na hawa wakinamama nimegundua sifa kubwa ya mjasiriamali wa kweli ni mawasiliano.Wengi ni waongeaji,wacheshi,wakarimu,wanajua kujieleza na unaona kabisa ushupavu wao ukiacha changamoto zinazowazunguka.Hizi ndio sifa alizokuwa nazo Mwanamakuka.
JAMANI DINA HII PROJECT NIMEIPENDA IMENIPA CHANGA MOTO YA KUTOKATA TAMAA MAAN HEBU ANGALIA MAISHA YA HAWA WENZETU TENA NA WANA WATOTO LAKIN HAWKATI TAMAA MASKINI NINGEKUWA NA UWEZO NINGEWASAIDIA WOOTE LAKINI MUNGU YUPO PAMOJA NAO..MAAN MI KITU KIDOGO NAKATAGA TAMAA NA KUANZA KIJIFUNGIA NDANI KULIA KUMBE KUNA BAKUBWA KULIKO YANGU..ISHAALAH WOTE MOLA ATATUPA WEPESI...
ReplyDeleteJAMANI DINA HII PROJECT NIMEIPENDA IMENIPA CHANGA MOTO YA KUTOKATA TAMAA MAAN HEBU ANGALIA MAISHA YA HAWA WENZETU TENA NA WANA WATOTO LAKIN HAWKATI TAMAA MASKINI NINGEKUWA NA UWEZO NINGEWASAIDIA WOOTE LAKINI MUNGU YUPO PAMOJA NAO..MAAN MI KITU KIDOGO NAKATAGA TAMAA NA KUANZA KIJIFUNGIA NDANI KULIA KUMBE KUNA BAKUBWA KULIKO YANGU..ISHAALAH WOTE MOLA ATATUPA WEPESI...
ReplyDeletedaaaaaaaaaaaah.
ReplyDeletekwa kweili dada Dina umepungua sanaaa yaaani its hard to belive kama ungepungua kiasi hicho.Bigup
regards,
Godfriend
hi dina,
ReplyDeletehongera kupaungua na hongera kwa yote ufanyayo.nauliza KITCHEN PARTY GALA ni lini tena
acha uvivu ku up date hata mduara wa jana kah.
ReplyDeletehuyo wa dagaaa awezeshwe, kwanza nimezitamanijee
ReplyDeleteDina hongera na kazi. Navitaka hivyo vikapi contacts plz!
ReplyDeleteHONGERA SANA DINA KWA HII PROJECT NZURI..BI MWANNE MSEKALILE NI MJASIRIAMALI WA KWELI NINAPENDA UBUNIFU WAKE KWA KWELI. KWANI UJASIRIAMALI UNAENDANA NA UBUNIFU AMBAO UTAKUPA SOKO.NAMTAKIA KILA LA HERI..
ReplyDelete