
Ilikuwa juzi jumamosi katika hotel ya Serena lakini eneo la kule nje

Nikiwa na Asma Makau tukatoka makwetu na mavazi yetu ya kanga.Vazi rasmi lilikuwa kanga ambayo wadada na akina mama waliishona kwa style mbalimbali za kupendeza.


Na Janeth alikuwepo

Watu walijiachia kwenye red carpet hadi raha

Muandaaji wa shughuli Shamim Mwasha akiwa na naibu waziri wa wanawake jinsia na watoto.

Bi Fitina Ponza alikuwepo

Kina mama

Kinamama

Ommy Dimpoz akiperfom

umependeza sna dina na makeup imetulia,nani alikupura??
ReplyDeleteumependeza sana mamito
ReplyDeleteooh.. okey mlipendeza sana din...ila unachelewa sana kutuwekea post mpya au ndiyo ubusy wakupitiliza...
ReplyDeletemlikosa vti,polen
ReplyDeleteNimependa event ya Shamim ila kitu kimoja tu amekosea..Mimi sikuona sababu ya wanamuziki wa kiume kuwepo humo ndani.It was about women so wangetafutwa wasanii wa kike tu ingekuwa poa sana..Ila Big up sana Shamim Kazi nzuri.
ReplyDeleteFrom
Mama
Dina kiukweli wewe ni mzuri sana hasa Ukipungua unakua bomba sana….Naomba hiyo Diet yako na mimi nipunguze huu mwili nina kg 102
ReplyDeleteDina kama bado ujaolewa basi mimi naamini ni wewe mwenyewe tu ujaamua kuelewa.
ReplyDeletewako
James
umependeza mydia nilikuona umetuliaa huna makuu afu haujishauwiii nilikuita diiina ukasema eeh mambo dia yani nilifurahiii ,mshaurin shamimu ile event aliiharibu kwa kutaka makuu mi naona ukumbi wa kawaida tuu ungefaa kuliko hapo serena jotooo pabaya viti kama darasani meza hakuna kinywagi ukiweka chini ukuzubaa tuu imemwagika maana watu walivalia 'CL'TEH ,pia next tym atangaze mapemaa kama hakuna menu na drinks ili watu wajipange ile event ya 5th yrs ilifana sana hata wewe dinna mnajitahid kwenye kpat galla mnajipanga imagine watu walikosa vitiii serena lol
ReplyDeleteDinna mbona suruali yako siisomi, na mbona kuna picha umekaa kiasara asara au bihashara matangazo?bora umebadilisha lile wigi lako make lilishatuchosha hila hatukuwa na mahali pa kusemea. you also look good in long artificial hair keep changing madam you are star.
ReplyDeletemuombe mwenye nyumba yako ubadirishe tails hazifanani na wewe mtakatana kwenye kodi.
mshenzi wewe huna mamlaka ya hayo huna haya heitaz atukujali wala nini huna la kusema kunywa mwaji ushushie kama bado kinabana kaogeeeeeeee dina kapendeza hata akivaa gunia anapendeza na kuvutia kazi kwako bi dada
DeleteNaibu waziri wa jinsi na watoto ni yupi katika wawili hapo juu? Kama ni huyo wa kushoto ni bomba mbaya sana. Nipeni fonibuk yake tafadhali
ReplyDelete