Alikuja kututembelea mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania bwana Rene Meza.Alikuja muda niliokuwa naanza kipindi mida ya saa tatu hivi asubuhi.
Rene:hi,am Rene Meza
Dina:hi,am Dina Marios
Rene:nice meeting u
Dina:nice meeting u too
Manager vipindi wa clouds fm Sebastian Magang akioa maelezo juu ya utendaji wetu wa kazi.
Asante kwa picha michuzijr.
Pendeza mamito na chuichui yako
ReplyDeleteWe say "Nice to meet you" at the beginning and "Nice meeting you" at the conclusion. sasa nyinyi mmekutana hapo hapo mnasalimiana kabla hata ya utambulisho wa seba mnamaliza nice meeting u!!!! next time kama mtu anakosea wewe mjibu kwa usahihi, sio kila mzungu anajua english.
ReplyDeleteDINA JAMANI MWENZIO MI NAMPENDA SEBA YEUUUUUUWI SIJUI NISEMEJE NA NIFANYEJE. NAMBIE UKWELI DINA NA USINIELEWE VIBAYA KAOA????
ReplyDeleteDina,
ReplyDeleteNaomba kuuliza,hivi ukiwa kwenye hicho kiti hauruhusiwi kunyanyuka?
Kwa kawaida ukipeana na mtu mkono inapendeza zaidi na wewe ukasimama japo kwa sekunde kadhaa then ukarudi kwenye position yako. Ni mtazamo tu, samahani kama nitakuwa nimekukwaza.
Habari Dina, siku nyingine mgeni akija kukusalimia simama usalimiane nae, sio umekaa chini km umegongewa misumari huoni km hyo sio adabu. mwone kwanza dada mzuri lakini heshima ndogo.
ReplyDeleteDINA.. KIFUA CHAKO KIZURI.
ReplyDeleteHiyo hair style inakufaa, nywele ndefu hapana hazikutoi kivileee....
ReplyDeleteaaaaaaaaaaawwwwwwwwwwwwwwwwwwt dina umepungua vizuri jamani, nawish kwa kweli na mimi nipungue hivyo love this pic dear
ReplyDeleteJaman Dina umependeza saana umepungua vizur sana..mpk umenimotivate na mie nafanya diet saiv...soooo lovely esp pic ya mwisho
ReplyDeleteUNASALIMIAJE WATU UMEKAA ?? ADABU YA WAPI HIYO BI DADA
ReplyDeleteDina pendeza sana wewe!!! reception inamvuto mwaya, hongera sana!!!!
ReplyDeleteNingekuwa sina ninachokifanya hapo nilipokaa ningenyanyuka,ila alinikuta katikati ya jambo.Hiyo ni studio ambayo ukikaa ni kama rubani una contol mambo yasiteleze.Hapo sio ofisi ya kawaida tu.Au angenikuta ofisini na si studio.Hata nikiwa studio nina uwezo wa kunyanyuka kumsalimia inategemea mgeni kaja kanikuta katika mazingira gani,SAWA?Kama umeelewa nashukuru kama hujaelewa sio tatizo langu tena.
ReplyDeletewhatever! ungelekebisha hata kuweka wimbo hewanivusimame! hainiingii akilini! yani una side b yako fulani very nasty! wtf! unamsalimia mtu umekaa na heshima zake du! boringgg fhuuu
ReplyDeletehivi kama unashindwa kuelewa kwa kusoma mazingira darani mlikuwa mnaelewa kweli?eti ungeweka wimbo kirahisi namna hiyo jamani kuweni wakweli labda kama ni heitaz hapo sawa pumbavu nyie
DeleteJamani msimfuate fuate Dina huenda alikuwa kwenye..........zake, sasa angenyanyukaje? Mnataka apate aibu kama..... Spear?
ReplyDeletehhhaahahahahaahah kweli usilolijua litakusumbua na kuuliza si ujinga.Najaibu tu kukusaidia hilo unalolisema haliwezekani sina nidhamu ya woga kiasi hicho yaani nikatishe kuweka lets say tangazo hewani nipige wimbo kisa mgeni kaingiaaa!!!!duh!sio kosa lako ni kutokujua mazingira ya kazi yangu.Na pia punguza stress kidogo maana ndio zinakufanya utukane bila sababu ya msingi.
ReplyDeleteDina .. nakuamini sana, yote uliyosema ni kweli kabisa ila najiuliza wakati yote hayo yanatokea we ulikua unaweka pozi la picha, na mpiga picha kutafuta engoo ya kupigia. labda ndio maana jamaa amechukua hizo point kama vyote viliwezekana utashindwa kuinuka.
Deletekwangu mie sina tatizo umeinuka hujainuka yote kwangu ni sawa.
dina me nina kitu tofauti hv kwanini usiwasaidie wanablog wengine wawe na lugha nzuri na kuongea kimaadili plz kaa nao najaribu kuwaelimisha cz ni wanawake wenzetu na ni warembo sana bt kauli na mambo yao mh?nimesema haya cz nimeona atleast we na shamim mnajitahidi,msaidie especialy sintah,hii ni kwa nia njema tuu nijibu please.
ReplyDeleteahahah dina umemjibu..watu wengine sijui vipi mnalazimisha nidhamu kwa watu? kashwaambia mazingira hayaruhusu..kweli watu wa blogs mnavumilia mengi me ningesema hivi nisingeweza endelea....
ReplyDeleteachana na hao my dear fanya unayoweza my dear hayo ndio maisha yako,ki ukweli u lk mwaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteKusimama ili umsalimie mtu inachukua sekunde ngapi bibie, hiyo scene haikupendeza kabisaaaa!
ReplyDeletehuna lolote wewe unajishebedua tu unafikiri wewe ndo wakwanza kufanya kazi hiyo eti kazi yangu hainiruhusu mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh
ReplyDeletewala usinyanyuke mwaya hao waindi ukiwakuta pande zao wabaguzi sana
ReplyDeletejaman dinna me penda yu, alaf yu luk awesome in dat last pix,achana na huyo mshamba asiyejua mazingira ya studio, ethics wala codes of conduct, utapigaje tangazo wakat muda wake haujafika, hajui hata kama kuna line up ya matangazo na ukifanya visivyo inakula kwako mwisho wa mwezi, kuna media huku Mwanza ukifanya hivo unalimwa hela kwenye salaryyako kwa minajili kwamba unakula cha juu na ndo maana unafanya hivo au vyovyote vile, na utapigaje wimbo akat hujapanga. whoever hapo juu radio na tv is all about TIME, yime ndo yauzwa, sokama huelew potezea tu,
ReplyDeletekuhusu side B every one ana ya kwake, hata we unayo ambayo its very nasty, so dont point a finger on dina, do it kwako pia......................shwain wee
We apologise tu kwa kweli hata knm ungekuwa unaendesha ndege ulipaswa kusimama we wa wapi Mhaya gani huna adabu
ReplyDeletewaosha vinywa mna kazi! yani with all good stories and the stuff mtu amejitahidi hadi kakuta kasoro! kaelezwa hadi basi.. lakini bado tu....dah! dina dear, huyo lazima atakuwa ana stress vibaya sana, halafu anapenda sana kuwa kama wewe lakini sasa hawezi anaishia kuhate, ana umia sana jinsi unavyo endelea, anaugua wivu ule chronic, yani we msamehe tu! yani dina huyo ni BIG TIME HATER!
ReplyDeletenapita...
ReplyDeletepole sana dina,vumlia hayo ndo maisha no one is perfect,may be ulpitiwa na istoshe hutakiw kua na nidham ya woga kisa mzungu,always be urself bi dada.
ReplyDelete