Thursday, February 23, 2012

MJENGONI LEO

Alikuja kututembelea mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania bwana Rene Meza.Alikuja muda niliokuwa naanza kipindi mida ya saa tatu hivi asubuhi.

Rene:hi,am Rene Meza

Dina:hi,am Dina Marios
Rene:nice meeting u

Dina:nice meeting u too

Manager vipindi wa clouds fm Sebastian Magang akioa maelezo juu ya utendaji wetu wa kazi.Asante kwa picha michuzijr.

28 comments:

  1. Pendeza mamito na chuichui yako

    ReplyDelete
  2. We say "Nice to meet you" at the beginning and "Nice meeting you" at the conclusion. sasa nyinyi mmekutana hapo hapo mnasalimiana kabla hata ya utambulisho wa seba mnamaliza nice meeting u!!!! next time kama mtu anakosea wewe mjibu kwa usahihi, sio kila mzungu anajua english.

    ReplyDelete
  3. DINA JAMANI MWENZIO MI NAMPENDA SEBA YEUUUUUUWI SIJUI NISEMEJE NA NIFANYEJE. NAMBIE UKWELI DINA NA USINIELEWE VIBAYA KAOA????

    ReplyDelete
  4. Dina,
    Naomba kuuliza,hivi ukiwa kwenye hicho kiti hauruhusiwi kunyanyuka?
    Kwa kawaida ukipeana na mtu mkono inapendeza zaidi na wewe ukasimama japo kwa sekunde kadhaa then ukarudi kwenye position yako. Ni mtazamo tu, samahani kama nitakuwa nimekukwaza.

    ReplyDelete
  5. Habari Dina, siku nyingine mgeni akija kukusalimia simama usalimiane nae, sio umekaa chini km umegongewa misumari huoni km hyo sio adabu. mwone kwanza dada mzuri lakini heshima ndogo.

    ReplyDelete
  6. Hiyo hair style inakufaa, nywele ndefu hapana hazikutoi kivileee....

    ReplyDelete
  7. aaaaaaaaaaawwwwwwwwwwwwwwwwwwt dina umepungua vizuri jamani, nawish kwa kweli na mimi nipungue hivyo love this pic dear

    ReplyDelete
  8. Jaman Dina umependeza saana umepungua vizur sana..mpk umenimotivate na mie nafanya diet saiv...soooo lovely esp pic ya mwisho

    ReplyDelete
  9. UNASALIMIAJE WATU UMEKAA ?? ADABU YA WAPI HIYO BI DADA

    ReplyDelete
  10. Dina pendeza sana wewe!!! reception inamvuto mwaya, hongera sana!!!!

    ReplyDelete
  11. Ningekuwa sina ninachokifanya hapo nilipokaa ningenyanyuka,ila alinikuta katikati ya jambo.Hiyo ni studio ambayo ukikaa ni kama rubani una contol mambo yasiteleze.Hapo sio ofisi ya kawaida tu.Au angenikuta ofisini na si studio.Hata nikiwa studio nina uwezo wa kunyanyuka kumsalimia inategemea mgeni kaja kanikuta katika mazingira gani,SAWA?Kama umeelewa nashukuru kama hujaelewa sio tatizo langu tena.

    ReplyDelete
  12. whatever! ungelekebisha hata kuweka wimbo hewanivusimame! hainiingii akilini! yani una side b yako fulani very nasty! wtf! unamsalimia mtu umekaa na heshima zake du! boringgg fhuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. hivi kama unashindwa kuelewa kwa kusoma mazingira darani mlikuwa mnaelewa kweli?eti ungeweka wimbo kirahisi namna hiyo jamani kuweni wakweli labda kama ni heitaz hapo sawa pumbavu nyie

      Delete
  13. Jamani msimfuate fuate Dina huenda alikuwa kwenye..........zake, sasa angenyanyukaje? Mnataka apate aibu kama..... Spear?

    ReplyDelete
  14. hhhaahahahahaahah kweli usilolijua litakusumbua na kuuliza si ujinga.Najaibu tu kukusaidia hilo unalolisema haliwezekani sina nidhamu ya woga kiasi hicho yaani nikatishe kuweka lets say tangazo hewani nipige wimbo kisa mgeni kaingiaaa!!!!duh!sio kosa lako ni kutokujua mazingira ya kazi yangu.Na pia punguza stress kidogo maana ndio zinakufanya utukane bila sababu ya msingi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dina .. nakuamini sana, yote uliyosema ni kweli kabisa ila najiuliza wakati yote hayo yanatokea we ulikua unaweka pozi la picha, na mpiga picha kutafuta engoo ya kupigia. labda ndio maana jamaa amechukua hizo point kama vyote viliwezekana utashindwa kuinuka.
      kwangu mie sina tatizo umeinuka hujainuka yote kwangu ni sawa.

      Delete
  15. dina me nina kitu tofauti hv kwanini usiwasaidie wanablog wengine wawe na lugha nzuri na kuongea kimaadili plz kaa nao najaribu kuwaelimisha cz ni wanawake wenzetu na ni warembo sana bt kauli na mambo yao mh?nimesema haya cz nimeona atleast we na shamim mnajitahidi,msaidie especialy sintah,hii ni kwa nia njema tuu nijibu please.

    ReplyDelete
  16. ahahah dina umemjibu..watu wengine sijui vipi mnalazimisha nidhamu kwa watu? kashwaambia mazingira hayaruhusu..kweli watu wa blogs mnavumilia mengi me ningesema hivi nisingeweza endelea....

    ReplyDelete
  17. achana na hao my dear fanya unayoweza my dear hayo ndio maisha yako,ki ukweli u lk mwaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  18. Kusimama ili umsalimie mtu inachukua sekunde ngapi bibie, hiyo scene haikupendeza kabisaaaa!

    ReplyDelete
  19. huna lolote wewe unajishebedua tu unafikiri wewe ndo wakwanza kufanya kazi hiyo eti kazi yangu hainiruhusu mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh

    ReplyDelete
  20. wala usinyanyuke mwaya hao waindi ukiwakuta pande zao wabaguzi sana

    ReplyDelete
  21. jaman dinna me penda yu, alaf yu luk awesome in dat last pix,achana na huyo mshamba asiyejua mazingira ya studio, ethics wala codes of conduct, utapigaje tangazo wakat muda wake haujafika, hajui hata kama kuna line up ya matangazo na ukifanya visivyo inakula kwako mwisho wa mwezi, kuna media huku Mwanza ukifanya hivo unalimwa hela kwenye salaryyako kwa minajili kwamba unakula cha juu na ndo maana unafanya hivo au vyovyote vile, na utapigaje wimbo akat hujapanga. whoever hapo juu radio na tv is all about TIME, yime ndo yauzwa, sokama huelew potezea tu,
    kuhusu side B every one ana ya kwake, hata we unayo ambayo its very nasty, so dont point a finger on dina, do it kwako pia......................shwain wee

    ReplyDelete
  22. We apologise tu kwa kweli hata knm ungekuwa unaendesha ndege ulipaswa kusimama we wa wapi Mhaya gani huna adabu

    ReplyDelete
  23. waosha vinywa mna kazi! yani with all good stories and the stuff mtu amejitahidi hadi kakuta kasoro! kaelezwa hadi basi.. lakini bado tu....dah! dina dear, huyo lazima atakuwa ana stress vibaya sana, halafu anapenda sana kuwa kama wewe lakini sasa hawezi anaishia kuhate, ana umia sana jinsi unavyo endelea, anaugua wivu ule chronic, yani we msamehe tu! yani dina huyo ni BIG TIME HATER!

    ReplyDelete
  24. pole sana dina,vumlia hayo ndo maisha no one is perfect,may be ulpitiwa na istoshe hutakiw kua na nidham ya woga kisa mzungu,always be urself bi dada.

    ReplyDelete