Wednesday, February 22, 2012

MNAOPITIA JARIBU LA KUTOPATA MTOTO,MSIKILIZE MDAU HAPA

Za leo wadau,
Mimi ni mama nina miaka 12 kwenye ndoa na nilichelewa kupata mtoto nilipoenda hosp. mara nyingi nilianbiwa sina shida nimeangaika sana mwaka jana nikaenda tena hosp. kupima nikaambiwa kizazi change kimekaa upanda wa kushoto, ili kiweze kurudi lazima nifanyiwe operation, kweli niliuzinika nililia make kufanyiwa operation haujawahi kuzaa sio nzuri japokuwa kwa kupande wa hosp. ndo njia pekee ili kizazi kirudi kwenye njia yake ya kawaida. Nilipo ongea na watu wakasema kuna dawa za asili pamoja na maombi zinaweza kurudisha kizazi kwenye njia ya yake ya kawaida bila kufanyiwa operation. Kweli nimepewa dawa na mama mmoja na kizazi change kimerudi kawaida na mambo yangu yamaishakuwa mazuri kulia ni meacha sababu Mungu wangu anajibu. Hakupi dawa bila kukupima make na mimi alinipima ndo akagundua kuwa kweli kiko upande wa kushoto ndo akanipa dawa hakupi dawa bila kukupima
Sasa kwa wenzangu ambao hawajapa watoto tumeangaika sana mtafute huyo mama atawasaidia make aliyenielekeza kwake aliwahi kupandikizwa vikakataa lakini alipoenda kwake alimpa dawa akapata mtoto kirahisi, na mimi nilipoenda nimefanikiwa najua kutopata mtoto nijaribu katika familia lakini Mungu anaweza. Huyu mama anaitwa mama Eva No. yake 0753 949956 mpigie anapatikana muda
wote.

24 comments:

  1. Dina, hii topic mbona umeing'angánia ghafla? Twambiane

    ReplyDelete
  2. dina wewe na huyo dada ni wanawake wenye roho nzuri sana kuweka jambo kama hilo humu ili kuwasaidia wenzenu ni moyo wa kipekee sana, kama unavyojua wanawake wengi hawafurahi wenzao wakipata suluhu ya tatizo hilo,nimemuelekeza shoga yangu amtafute huyo mama kama akifanikiwa tutafurahi pamoja. kazi njema endeleeni na moyo huo, MUNGU NA AWABARIKI...

    ReplyDelete
  3. Asante sana mdau kwa kushare nasi jambo zuri kama hili. Mungu wetu ni mwema sana na ni kweli kabisa anajibu maombi yetu. Nawatakieni nyote kwaresma njema.

    ReplyDelete
  4. We utazaa lini Dina?...u look like u will make a very gud mother n wife.

    ReplyDelete
  5. Thanks my Sister for tjis good news!
    But

    Kuna kila dalili dada Dinah unataka mtoto!

    ReplyDelete
  6. Naogopa kuchangia kwa hili,kwakuwa sijui kama watoto ninao ishi nao ni wakwangu!
    Kuna dada hapo chini kasema hata DNA ime prove wrong,nani msema kweli sasa!Nilikuwa naamini mama ndiye anayejua baba wa mtoto.

    ReplyDelete
  7. GOD BLESS U MAMA.......MUNGU AKUPE MTOTO MWEMA ZAIDI YAKO.

    ReplyDelete
  8. Asante kwa huyo dada na kwako Dina maana watu wengi wanahangaika kutafuta mtoto lkn wapi ukienda pima hosp some time unaambiwa una tatizo unapewa madawa ya mwezi mzima lakini ujauzito ushiki.So tunashukuru Dina uwe na moyo huo huo coz usingeweka hiyo post tungeyajulia wapi mambo km hayo ya mama Eva.

    Nakutaki siku njema

    Halima Juma

    ReplyDelete
  9. Dada, mama ulieshare nasi habari hii ubarikiwe sana. mimi ni mmojawapo natafuta mtoto tangu mwaka 2005 hadi leo sijafanikiwa nimefanya operation mara mbili lakini wapi. Nami nitamtafuta huyu mama. Nawatakieni Kila la heri na Mungu awabariki sana

    ReplyDelete
  10. SWALA LA KIZAZI KUGEUKA KUPINDA NI KITU CHA KAWAIDA AFADHALI HILO DAWA NYINGI ZA KIENYEJI ZINARUDISHA, SASA KUNA HUYU NDUGU YANGU YEYE NI BLEED NDOGO NDOGO TOKA SIKU YA KUPEVUKA YAI HADI KWENYE PERIOD HOSPITAL ZOTE, KAZUNGUKA MARA KUNYWA DAWA MIAKA MIWIL HAMNA KITU, MARA MBONA KAWAIDA HAWAONI TATIZO, MITI SHAMBA NAYO KANYWA HANA NAFUU, EBU NAOMBA WADAU WAMSAIDIE MAANA KIZAZI NACHO KIMEGEUKA LAKIN SHIDA INAYOMSUMBUA SANA NI HIYO DAMU ISIYO NA MWELEKEO MUMEWE HAMFAIDI HATA KIDOGO KARIBU MWEZI MZIMA BLEED.
    TUMSAIDIE TAFADHALI

    ReplyDelete
  11. hongera sana mama uliyefanikiwa, na pia hongera kwako dina kwa kumuonyesha mwanamke njia. ni kweli dawa za asili zinasaidia sana. pamoja na kujaribu dawa pia naomba tukutane www.mwanamkenauzazi.blogspot.com kwa msaada wa kimawazo pia tuwasaidie wanawake wenzetu

    ReplyDelete
  12. hiyo picha ya hicho kitoto nzuri sana, nahisi mwanao atakuwa cuteee kama huyo kwenye picha'

    ReplyDelete
  13. Nimemtafuta, nimeonana naye wiki iliyopita na amenipa dawa, nitarudi tena kwake wiki hii.ninaahidi kuleta report ya mafanikio kuhusu suala hili.

    Ninawasilisha.

    ReplyDelete
  14. Namshukuru huyo mama aliyetoa namba maana nina ndugu yangu ana hilo tatizo la kutoshika mimba.

    ReplyDelete
  15. pamoja na mama eva ningewashauri pia mumtafute Dr Khalifa Nkumbi anapatikana sinza makaburini hospitali inaitwa sinza MICO.namaba yaje ya simu ni 0754382626.ni dr mzuri sana wengi wamefanikiwa .

    ReplyDelete
  16. Jamani waliosema wataleta feedback mbona kimya?wengine tunataka hiyo tiba

    ReplyDelete
  17. Mmh! imenibidi nigune maana toka mwaka jana feedback hakuna. Na tunataka feedback za ukweli jamani hili tatzo ni la wanawake wengi mno tusaidiane jamani

    ReplyDelete
  18. jamani majibu kwa walioenda is it true?

    ReplyDelete
  19. Jamani ni kweli huyu mama anasaidia tena xana mm mwenyewe nimefanikiwa!!!!

    ReplyDelete
  20. Anasaidia xana huyu mama, Axanteni mliotoa hii post!!!! Nami nimefanikiwa pia!!!

    ReplyDelete
  21. Hongera mlofanikiwa kiukweli mi nimeenda kanipa dawa hadi ya mwisho sikufanikiwa labda hakuwa Bahat yangu Simlaumu

    ReplyDelete
  22. Hongera mlofanikiwa kiukweli mi nimeenda kanipa dawa hadi ya mwisho Lakini sijafanikiwa,labda hakuwa Bahat yangu.

    ReplyDelete