Sunday, February 12, 2012

NAJUA NAKUBOA ILA NAOMBA NIELEWE

Mpendwa mdau,
Natumaini unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku.Leongo la kuandika ujumbe huu mfupi ni kukuomba unisamehe na univumile kwa kuwa nachelewa kuupdate blog yetu.Wiki iliyopita nilibanwa sana na project flani ambayo inatarajiwa kuanza katika kipindi changu cha radio cha leo tena.Si unajua tena japo nipo nawe bloguni lakini ni muajiriwa wa clouds media group katika kipindi cha radio cha leo tena.

Nashukuru kwa uelewa wako tupo pamoja daima.

DM.

6 comments:

  1. haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hivi ndo tunataka kwa sasa tutakuwa tunajua kwanini kuna hali hii

    ReplyDelete
  2. haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hivi ndo tunataka kwa sasa tutakuwa tunajua kwanini kuna hali hii

    ReplyDelete
  3. YANI SIO KIDOGO UNABOA MNO SIKU HIZI DINA LKN SINA LA KUFANYA TU MAANA NAWEZA INGIA KILA MARA UNAKUTA HOLA INAKATISHA SANA TAMAA HADI UNACHOKA KUINGIA ILA NIMEAMUA KUPUNGUZA MAZOEA COZ NILIKUWA ADICTED NA BLOG YAKO MM NIKUPENDAE KWA DHATI MDAU WA SWEDEN

    ReplyDelete
  4. Dina naamini ulifahamu kua utakua busy right?Hiyo kazi Haikuja kama suprise right?Basi cha muhimu ungetupa habari basi wadau wako kua uko A bit tight mbona tungekuelewa tuu Mamii.Mimi mwenyewe ni Adict na Blog yako ila kwa sasa naona unanichosha maana kila nikiingia hola Am Tired mamii.Ungetutaarifu B4 ingekua safi kweli.
    Well all the best kwenye hiyo Project inayokuja.
    Bye
    Mdau Malaysia.

    ReplyDelete
  5. Uza rights,tukufanyie kazi kwa niaba.

    ReplyDelete
  6. usiogope mdogo wetu!

    ReplyDelete