Monday, February 13, 2012

NIMEPENDA TU

David Beckam na mwanae wa kike Harper
Nimependa tu hii picha hakuna la ziada.

21 comments:

  1. Mdada ulivyo jihami...sema tu mwayego kama umevutiwa na jinsi katoto kanavyo pendwa na dadyy yake...yan mpaka raha ukipata mume wa hivi...kwani huku kwetu hivi mapenzi ya mawazo ndio jadi yetu au?!!! Mie nataka nipate mume kama David jamani ....

    ReplyDelete
    Replies
    1. KATOTO KANA MAPOZI AKO..

      Delete
    2. Omba kwa Mungu utampata tu mwayego!!! hakuna lisilowezekana.

      Delete
    3. ahaahaaaaha eti mapenzi ya mawazo..

      Delete
  2. Mmmhh! au umevutiwa na pozi la mdomo la hako ka baby?

    ReplyDelete
  3. umeanza kutamani vitoto?fanya fasta kama zama kajibebee kamimba uzae ka kwako umri unaenda utazaa mtoto akuite bibi shauri yako u sista duu una wakati wake na ni mbio za sakafuni fanya uamuzi sasa

    ReplyDelete
    Replies
    1. o.k basi naona nianze kwanza na mumeo au babaako ili wanipatie katoto alafu wewe utaitwa step mum au sista kuliko kuja kuitwa bibi kama mimi

      Delete
  4. Ni kweli mdau hapo juu kama ulivyosema amependezewa tu na jinsi mzungu alivyobeba mtoto manake hata hapa kwetu wababa wengi tu wanabebaga watoto wao kwanini asiwapige picha na kutuwekea hapa? Ni ushauri tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. mpige picha mumeo akiwa kambeba mwanao tumweke hapa ili awe role model kwa baba wengine kufuata. hamna jema nyie kila kitu kulaumu tu utakuta pengine wewe huyo mumeo hata hamgusi mtoto ni kujishebedua tu

      Delete
  5. baby kako so cute.. anaonekana atakuwa na akili sana, alivyo mjanja picha ya chini ametoa ulimi na kufumba macho, anajua kuweka mapozi ya picha, hizo ndo pozi za kitoto

    ReplyDelete
  6. mtoto mzuri sana na yupo charming.hongera baba na mama

    ReplyDelete
  7. What a cute little angel.....she is like a baby toy, beautiful indeed, me love her so much.

    ReplyDelete
  8. wow babie harper mwenyewe kibonge utafikiri sio mtoto wa victoria maana mama yake ful kimbaumbau

    ReplyDelete
  9. dina hunishindi walai lol, hii ni ya kuitunza kbsaaaaaaaaaaaaaaa akue ajione

    ReplyDelete
  10. Umeanza kutamani kuwa na watoto ndo umri wake huo. Inshaallah Mungu atakujalia utapata mume na hatimae kuwa na watoto. Acpokujalia had ukfkisha 30 bac jzalie katoto kako ulee.

    Joh...

    ReplyDelete
  11. hivi kwanini kuna matoi ya kizungu tu ya kiafrika hamnagaeee???

    ReplyDelete
  12. wat a cute little harper,kazuri kanono yaani kama ukabusuuu mpaka

    ReplyDelete
  13. Eeeh!!! Ka baby kana pozi jamani. Nimependa sana hata mimi. She is so cute!!!!!!

    ReplyDelete
  14. mie mkwaju tu aliotinga beckham pale down baraa....! damn this guy can dress

    ReplyDelete
  15. mh jamani punguzeni ukali wa maneno kwani yeye kasema hataki kuzaa?? acheni maneno ya karahaaa

    ReplyDelete