Sunday, February 12, 2012

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Katika kuelekea kusherehekea siku ya wanawake duniani.Mmiliki wa Blog ya 8020fashions shamim a.k.a Zeze anatukutanisha pamoja wadada na wanawake pale Serena Hotel.Itakuwa tarehe 3 march 2012.Kiingilio Tsh 25,oo0 kuanzia saa moja jioni.Safu ya burudani ikiongozwa na Jahazi modern taarab.
Vazi la siku hiyo ni kanga mie kanga yangu ipo tayari bado kupeleka kwa fundi ni zawadi toka kwa msikilizaji wangu wa ukwe ee!
Umebaki mshono tu hapo sijui hata ntatoka vipi.Hapa itabidi nimuone mwenyewe mama wa B2A anitafutie mshono.

Nataka tuwe na meza yetu wadau wa blog hii na pia wadau wa women in balance nipigie 0787 583132 NIKUPE TAARIFA NAMNA tutakavolipia na kukaa pamoja.

No comments:

Post a Comment