Mdada ulivyo jihami...sema tu mwayego kama umevutiwa na jinsi katoto kanavyo pendwa na dadyy yake...yan mpaka raha ukipata mume wa hivi...kwani huku kwetu hivi mapenzi ya mawazo ndio jadi yetu au?!!! Mie nataka nipate mume kama David jamani ....
umeanza kutamani vitoto?fanya fasta kama zama kajibebee kamimba uzae ka kwako umri unaenda utazaa mtoto akuite bibi shauri yako u sista duu una wakati wake na ni mbio za sakafuni fanya uamuzi sasa
Ni kweli mdau hapo juu kama ulivyosema amependezewa tu na jinsi mzungu alivyobeba mtoto manake hata hapa kwetu wababa wengi tu wanabebaga watoto wao kwanini asiwapige picha na kutuwekea hapa? Ni ushauri tu
mpige picha mumeo akiwa kambeba mwanao tumweke hapa ili awe role model kwa baba wengine kufuata. hamna jema nyie kila kitu kulaumu tu utakuta pengine wewe huyo mumeo hata hamgusi mtoto ni kujishebedua tu
baby kako so cute.. anaonekana atakuwa na akili sana, alivyo mjanja picha ya chini ametoa ulimi na kufumba macho, anajua kuweka mapozi ya picha, hizo ndo pozi za kitoto
Umeanza kutamani kuwa na watoto ndo umri wake huo. Inshaallah Mungu atakujalia utapata mume na hatimae kuwa na watoto. Acpokujalia had ukfkisha 30 bac jzalie katoto kako ulee.
Mdada ulivyo jihami...sema tu mwayego kama umevutiwa na jinsi katoto kanavyo pendwa na dadyy yake...yan mpaka raha ukipata mume wa hivi...kwani huku kwetu hivi mapenzi ya mawazo ndio jadi yetu au?!!! Mie nataka nipate mume kama David jamani ....
ReplyDeleteKATOTO KANA MAPOZI AKO..
DeleteOmba kwa Mungu utampata tu mwayego!!! hakuna lisilowezekana.
Deleteahaahaaaaha eti mapenzi ya mawazo..
DeleteMmmhh! au umevutiwa na pozi la mdomo la hako ka baby?
ReplyDeleteumeanza kutamani vitoto?fanya fasta kama zama kajibebee kamimba uzae ka kwako umri unaenda utazaa mtoto akuite bibi shauri yako u sista duu una wakati wake na ni mbio za sakafuni fanya uamuzi sasa
ReplyDeleteo.k basi naona nianze kwanza na mumeo au babaako ili wanipatie katoto alafu wewe utaitwa step mum au sista kuliko kuja kuitwa bibi kama mimi
DeleteNi kweli mdau hapo juu kama ulivyosema amependezewa tu na jinsi mzungu alivyobeba mtoto manake hata hapa kwetu wababa wengi tu wanabebaga watoto wao kwanini asiwapige picha na kutuwekea hapa? Ni ushauri tu
ReplyDeletempige picha mumeo akiwa kambeba mwanao tumweke hapa ili awe role model kwa baba wengine kufuata. hamna jema nyie kila kitu kulaumu tu utakuta pengine wewe huyo mumeo hata hamgusi mtoto ni kujishebedua tu
Deletebaby kako so cute.. anaonekana atakuwa na akili sana, alivyo mjanja picha ya chini ametoa ulimi na kufumba macho, anajua kuweka mapozi ya picha, hizo ndo pozi za kitoto
ReplyDeletemtoto mzuri sana na yupo charming.hongera baba na mama
ReplyDeleteWhat a cute little angel.....she is like a baby toy, beautiful indeed, me love her so much.
ReplyDeletewow babie harper mwenyewe kibonge utafikiri sio mtoto wa victoria maana mama yake ful kimbaumbau
ReplyDeletedina hunishindi walai lol, hii ni ya kuitunza kbsaaaaaaaaaaaaaaa akue ajione
ReplyDeleteshe is super sweet
ReplyDeleteUmeanza kutamani kuwa na watoto ndo umri wake huo. Inshaallah Mungu atakujalia utapata mume na hatimae kuwa na watoto. Acpokujalia had ukfkisha 30 bac jzalie katoto kako ulee.
ReplyDeleteJoh...
hivi kwanini kuna matoi ya kizungu tu ya kiafrika hamnagaeee???
ReplyDeletewat a cute little harper,kazuri kanono yaani kama ukabusuuu mpaka
ReplyDeleteEeeh!!! Ka baby kana pozi jamani. Nimependa sana hata mimi. She is so cute!!!!!!
ReplyDeletemie mkwaju tu aliotinga beckham pale down baraa....! damn this guy can dress
ReplyDeletemh jamani punguzeni ukali wa maneno kwani yeye kasema hataki kuzaa?? acheni maneno ya karahaaa
ReplyDelete