Friday, February 24, 2012

WAPENZI WA MOVIE MLINIOMBA WEEKEND NIWE NAWAPA LIST YA MOVIE ZA KUANGALIA....HIZI HAPA BASI!

Moja




Tatu

Nne
Tano


Kama ulikuwa bado kuziona halafu utanipa feedback jumatatu

5 comments:

  1. dina tafuta the vow nzuri sana

    ReplyDelete
  2. Jamani unajitahidi kweli kutupa vitu hongera sana yaani mwezio ni mpenzi wa movies lakini kwa bahati mbaya movie nyingi hazipatikiani huku mfano kuna moja uliwahi kuisimulia humu kuwa nzuri sana na nikapenda sana nikatamani kuiona bahati mbaya kila nilivyotafuta sikuipata kwenye maduka na hadi leo sijaiona,sasa hizo sijui ntazipataje au unaweza kunisaidiaje?

    fel from mza

    ReplyDelete
  3. mi ningependa pia dada dina ungetutajia shm ambzo tutazipt movie hizi yas ht mm nina sehm ninanunua hk hk mjin na huwa napt move zote usemavyo na orgino but najua shm hy moja tu je nikikosa niende wapi ambz nawez kupt hz movie maana hp naponunuaga hiyo THE TREE OF LIFE hakna smhn kwa usmbufu dada yangu

    ReplyDelete
  4. Dina asante sana mpenzi manake umenikuna kweli sijui nikwambieje

    ReplyDelete
  5. dina unjitahid mdg wangu,don hesitate to give us more movies

    ReplyDelete