Thursday, March 15, 2012

ALIEMNYANYASA KIJINSIA MTOTO WAKE HUYU HAPA

Baada ya kusikiliza kipindi cha leo cha leo tena na hekaheka ya leo.Juu ya mama aliyekuwa akimfanyia mtoto wake wa kike  wa miaka saba vitendo  vya kisagaji na udhalilishaji mkubwa wa kijinsia. Wengi wamelia na kujiuliza why??
Kwanza kabisa huyu mama alipata mimba ya huyu mtoto akiwa kidato cha kwanza.Hapo alipo mpaka leo haijulikani baba wa huyo mtoto ni nani?amekuwa akiwafanyia huo mchezo hata watoto wengine.Ana umri wa miaka 25 huyo dada.Wakati anapewa taarifa za mwanae hakushtuka wala kujali kama mama juu ya afya ya mwanae.Sawa alikuwa anakataa hajafanya kitu lakini kama mama hakushtuka kwa lolote.Baada ya wananchi kumzonga,kumsema,wengine kumpiga akaangua kilio na kusema ''jamani mimi sijui nifanyalo,sijielewi''akaongeza ''naomba niwekwe ndani kwa maana ya jela au sehemu ya peke yangu nisionane na binadamu yoyote nijijue maana sijitambui wala sijielewi kwa nini nafanya hivyo.Haikutosha akasema ''niueni"
Hapa najaribu kuwaza tu mdau...na bado naendelea kuwaza.

52 comments:

  1. hallow dinna kweli dunia ina mambo....... huyu dada aliyekaa ndo muhusika wa uchafu huo? jamani hata siwezi kuongea .....

    ReplyDelete
  2. SAD,JUST SADDDD! NO WORDS TO EXPLAIN ANY PART OF THIS STORY. IF PARENTS CAN DO SUCH TO THEIR DAUGHTERS, HOW ABOUT THE FRIEND, NEIGHBOUR, COLLEAGUE!!! DAH, AMA KWELI TUMEKWISHA.

    CHRISTINE

    ReplyDelete
  3. Huyo mama ni mshenzi wa tabia na anaonekana ni mtu aliyekata tamaa ya maisha hadi kumfanyia mwanaye wa kumzaa uharamia wa aina hii. TAMWA, TAWLA, LHRC; TGNP; MEWATA; WAMA ingilieni kati suala hili mtoto apewe haki yake.

    ReplyDelete
  4. HAPANA JAMANI HUYU DADA MGONJWA NYIE HAIWEZEKANI KABISAAA MGONJWA HUYU JAMANI

    ReplyDelete
  5. Mhhhhhhhhhhhhhhhh1
    UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI.


    Kisensi

    ReplyDelete
  6. jamaani mimi naamini hata shetani akipewa mtoto hawezi kufanya alichofanya huyu mama,ukikutana naye njiani wala huwezi hata hisi kama ana uchafu wa aina hii,sijui,sina la kusema yaani Mungu tusaidie watoto wako,Au ni jini????au ana mapepo ya ngono lakini ....ah... dah...nahisi kufakufa yaani.

    ReplyDelete
  7. muone kwanza hana hata haya, huyu ni msagaji kabisa dina kwani amekosa wakubwa wenzie wakufanya nao huo uchafu hadi anafanya kwa mtoto??????? jamani kweli? yaani nimelia leo nilivyokuwa nasikiliza hiki kipindi, nikiangalia nina miaka mitatau kwenye ndoa natafuta mtoto sipati halafu mtu anafanya hivyo kwa mtoto wake wa kumzaa? anastahili adhabu kali am

    ReplyDelete
  8. mmmh jamani ninavyopenda watoto hii imeniuma sana huyo dada daaaah,yani napata picha mtu mzima smtym anaumia mtoto inakuaje???lakini sio bure huyo mama sio yeye jamani kweli hata mama wa kambo pamoja na roho mbaya hawezi kufanya....hivyo huyo shetani

    ReplyDelete
  9. Mungu ndiye anayejua kwa nini huyo dada anafanya hayo yote, kuna mapepo, malaana, upungufu wa akili au kwa kukusudia kabisa so tumwachie Mungu atamuadhibu mwenyewe. But inauma sana.

    ReplyDelete
  10. Dina,
    Nini hatma ya mtoto?
    Yuko wapi kwa sasa?
    Hatua gani zimeshachukuliwa dhidi ya huyu mama mkatili kuliko wote? Haiingii akili kwa mama kama huyu, hat kama mimba yake alipata kwa kubakwa, ndo alipe kisasi kwa mwanae wa kuzaa? Naogopa kumuhukumu but alilotenda pia siwezi kumsamehe nikiwa kama mama.

    ReplyDelete
  11. Mm ndio sijui hata niseme nini?maana naona Kama yamemeshasemwa hapo juu,maana tumbo lilinicheza muda ule kwa kweli,machozi yalinitoka namfikilia huyo mtoto alivyoathilika kiakili,maana mpaka aje kurudia khali yake ya kawaida itachukuwa muda,watu wanapata matatizo makimbilio Yao hapa Duniani ni mama sasa Leo mama huyo ndio kafanya hivyo jamani,anahitaji msaada mkubwa sana kutoka kwa Aunt Sadaka jamani.

    ReplyDelete
  12. Mm ndio sijui hata niseme nini?maana naona Kama yamemeshasemwa hapo juu,maana tumbo lilinicheza muda ule kwa kweli,machozi yalinitoka namfikilia huyo mtoto alivyoathilika kiakili,maana mpaka aje kurudia khali yake ya kawaida itachukuwa muda,watu wanapata matatizo makimbilio Yao hapa Duniani ni mama sasa Leo mama huyo ndio kafanya hivyo jamani,anahitaji msaada mkubwa sana kutoka kwa Aunt Sadaka jamani.

    ReplyDelete
  13. DINA STAKI KUMUHUKU HUYU DADA MAANA KILA KITU KINA SABABU YAKE KWA MOLA WETU SO SHE HAVE SOME THING IN SIDE HUYU DADA...KWAKWELI MTU WA KAWAIDA HAWEZI FANYA KITU KM HICHI EE MOLA MTATULIE LILILOPO SABABU NI WEWE PEKEE UNAYEJUA...

    ReplyDelete
  14. alafu tunavyookotaga wadada wa kazi,jamani tuwe makini tuwaulize watoto maswali hii inatisha

    ReplyDelete
  15. dina nnakuomba umpeleke huyo mtoto hospitali kisha alelewe kwenye kituo cha kulelea watoto,may be maisha yake yatakua mazuri. Kuhusu mama bora akapimwe akili than polise

    ReplyDelete
  16. Huyu dada sio mzima kabisa, ana mapepo mabaya mnoo!! its so sad jamani, mwanamke ambae ni mama mzazi wa mtoto kumfanyia hivyo mtoto wa kike ambae ni mwanao wa kumzaa!! hainiingii akilini. Ee Mungu utusaidie waja wako, utuepushe na matendo ya ajabu kama haya.......

    ReplyDelete
  17. Dina ikiwezekana naomba hii hekaheka irudie maana sijaipatapata vizuri ingawa inasikitisha sn kwa mama kumharibu mwanae makusudi hivyo......Please rudia tena kipindi hicho

    ReplyDelete
  18. kwa akili ya haraka haraka tutamtukana huyu mama na kumpiga hata kumuua lakini nadhani kuna stori kubwa zaidi nyumba yake au kuna manyanyaso makubwa zaidi aliyoyapitia na kuona binadamu wote hawana thamani maskini angekuwa ulaya angewekwa sehemu ya peke yake na kupewa ushauri counselling ya hali ya juu mpka angerudia kuwa bindamu wa kawaida mimi namuonea hurua sana hata mtoto wake akikuwa atakuwa katili kama mama yake ukatili utaendelea tu mpka basi hautakwisha mapaka tutakapoweza kutibu makovu ya ukatili basi huenda kizazi chao choote wakawa hivyo kuanzia kwa huyu mama mpaka wajukuu zake

    ReplyDelete
  19. Pole sana mtoto uliyefanyiwa vitendo hivyo na mama yako. Ni mambo yakusikitisha sana haya na ni vigumu kuamini. Badala ya mama kuwa mlinzi mkuu na rafiki mkubwa kwa mwanao wewe ndo unamfanyia vitendo vya kikatili hivyo. Siyo akili timamu lakini awajibishwe na vyombo husika. mh moyo waniuma

    ReplyDelete
  20. YA RABI MOLA TUPE STARA YA DUNIANI MPAKA AKHERA VIUMBE VYAKO: SIMUHUKUMU KWANI SINA UWEZO ILA ALWAH:ILA HAKIKA MOLA ATAMLIPA KWA MABAYA ALOTENDEA WATOTO ATALIPWA HAPA HAPA DUNIANI

    ReplyDelete
  21. KWANZA NAPENDA KUKUPA PONGEZI MAMA WA HEKAHEKA GEA HABIBU NA TIMU YAKO KWA KAZI SAFI MNAYOIFANYA.

    Dina huyu mtoto kwa sasa yu wapi?
    Na je ataweza kurud ktk hali yake ya kawaida kimaumbile?
    Je atamthamini mama yake mwenye roho ya kikatili nama hiyo?
    wakati nasikiliza heka heka nilimsikia akisema "WANAUME WAPO KIBAO KWA NINI NIMFANYIE MWANANGU HIVYO"?

    Km wanaume wamejaa, hayo mafuta na masanamu ya kiume aliyanunua kwa kazi gani?

    JAMANI HUYU DADA HAMUOGOPI MUNGU ASIYEMUONA, NA KUMFANYIA USODOMO MWANAE WA KUMZAA. JE MWANA WA MWENZIE?

    Muone USO ULIVYOMSHUKA MSONYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!

    ReplyDelete
  22. ni mapepo dina nashauri aende akaombewe kwa imani yake
    yaani haiwezekani binadam wa kawaida afanye ivyo.ni liroho yakishetani kapandikizwa jaman masidieni akaombewe

    ReplyDelete
  23. Ana makosa sawa Dina , lakini huoni kuwa unaweza sababisha jamii ikachukua hatua kumhukumu kwa kuweka picha yake hadharani? Simtetei ila tuangalie mbali, tunamsaidia au tunamtosa jamii imhukumu ni changamoto kwetu kama jamii.
    Napongeza kwa kuja na habari kama hii ili jamii ione yanayoendelea ndani ya dunia yetu, ni habari nzuri kwa kweli hii ni moja yako mengi lakini jinsi tunavyozifanyia kazi tuweke pia umuhimu wa kufuata maadili ya kazi.

    ReplyDelete
  24. Dada aliyemlawiti mtoto wake. Mimi bado siamini kuwa hayo yametokea, na kama kweli yametokea, Bado natafakari kutoa komenti zangu.

    ReplyDelete
  25. MMMHHH HUYO ATKUWAA NI PEPO AISEE, NASHINDWA KUMUELEWA, MWILI UNASISIMKA KWA SHOCK

    ReplyDelete
  26. Sasa tukisema YARABI na tukalia mpaka mwisho itasaidia nini kwa wakati huu hasa ikichukuliwa mtoto keshafanyiwa kwa muda mrefu?Ishu hapa ni KUTOA WAZO huyo mtoto anasaidiwa vipi ili kupunguza madhara ya kitakachotokea baadae kwa vitendo hivyo? ili asijedhuru wengine au watoto wake atakapokuja kuzaa maana mimi naona tatizo lilianza na mama yake yawezekanya alifanyiwa hivyo alipokua mtoto pia na sasa imeharibu ubongo wake na sasa anamfanyia mwanawe,na je tutawatafutaje wengine kama hao katika jamii yetu maana wako wengi ila hawaongei!

    ReplyDelete
  27. dada dinnah huyo anapritend unajua yaani anajielewa sana...
    na inaonekana ni mchezo wake yaani hata yy mwenyewe anafanywa hivyo so ameshaona kuwa huo nimchezo kwake hana akili adhabu pekee ndo anastahili huyo... ningekuwa karibu naye ningemkata viganja vya hiyo mikono yake....

    ReplyDelete
  28. Mungu msaidie huyo mtoto katika maisha yake yote

    ReplyDelete
  29. jamani namuonea huruma sana huyo bint, maana mm mtu mzima lakini uume unapoingia naumia sipati picha huyo mtoto mdogo. mm nahisi huyo mama ana mapepo si bure.

    ReplyDelete
  30. DINA,

    ANAVYOSEMA HAJUI INAWEZEKANA KWELI HAJUI. YAANI HAPO TUNACHEZA NA ROHO, KINACHOMDRIVE NI ROHO NA SI YEYE, KAMA UNAJUA MASUALA YA KIROHO UTANIELEWA, ANA ROHO CHAFU YA MAPEPO NA UKIMPELEKA KATIKA MAKANISA YA KIROHO ATAKAVYOLIPUKA UTASHANGAA. HUYO DADA HATAWEZA KUKAA NA MWANAUME KWANI MAPEPO ALIYONAYO HAWAPENDI WANAUME. CHA MSINGI YEYOTE KATI YENU, MUMSHAURI MUMWAMBIE KAMA HAPENDI ANCHOFANYA BASI KUNA NJIA YA KUMSAIDIA, MPOELEKENI KATIKA MAKANISA KAMA LA KWA LWAKATARE, MCHUNGAJI JOHN LA KIBAMBA TENA HILI LA KIBAMBA NDO LITAREVEIL YOTE ALIYOFANYA HATA KAMA SI HATUYAJUI MAANA HUWA MCHUNGAJI WA PALE ANAONA MAMBO YA KIROHO ZAIDI, AU POPOTE.SAIDIENI ILI ASIHARIBU ZAIDI MAANA HATA WATU ANAOKAA NAO ATAWAAMBUKIZA HILO PEPO. TAFADHALI ZINGATIA NINACHOKWAMBIA. KAMA UNATANGAZA TATIZO, LIWE NA SOLUTION YA KUONDOA TATIZO SIO WATU WASHANGAE HALAFU BASI. BE LIKE OPRAH,,,,TATIZO TATUA. ASANTE.

    ReplyDelete
  31. mmmh,kwa kweli yaan sitaki kuamini,.Machozi yananitoka,Nawaza mengi,Kama huyo ni mama mzazi,vipi sisi tunaowaacha watoto wetu na ma house girl.?Mungu Tusaidie.

    ReplyDelete
  32. huyo mama sio mzima wanasaikolojia wamsaidi sana huyo mama na pia mtoto maana mtoto ameshaathirika kisaikolojia inatakiwa ifanyike kazi ya ziada kumrudisha nomo huyo mtoto

    ReplyDelete
  33. Lusajo Mwalukunga-St John's University, DodomaMarch 16, 2012 at 4:16 AM

    Huyo mama anahitaji msaada wa karibu sana, kwasababu ninavyoona huyo mama ana psychological problems. Sasa tusitumie muda mwingi kumlaumu, yawezamkuta mtu yeyote.
    USHAURI WANGU KWA MTOTO; mtoto apelekwe hospitali kwa uchunguzi na kupatiwa matibabu sahihi.
    USHAURI WANGU KWA MAMA;
    Mama apelekwe kwa wanasaikologia asaidiwe, kwani ni tatizo linaloweza kutibiwa.
    matatizo kama haya husababishwa na vitu vingi sana, ikiwa pamoja na mazingira aliyopo kwasasa, mazingira aliyokuwanayo wakati wa kupata mimba, kujifungu, hata wakati wa kulea mtoto.....
    Mimba za utotoni ambazo kwa namna moja au nyingine zikapelekea kuathiri shughuli zake za kila siku; kama kukatishwa masomo, kutengwa na familia, kutelekezwa na mzazi mwenzie, kutengwa na jamii; hupelekea kwenye mataizo makubwa kwa mama. Matatizo haya yanaweza kuwa na madhara ya moja kwa moja kwa mama au mtoto, aidha wote wawili.
    USHAURI WANGU KWA JAMII:
    Jamii tunatakiwa kujifunza kupitia kwa wenzetu, kwani kila tatizo lina chanzo chake,, badala ya kulaumu tunatakiwa kubadili tabia zetu ili tuwe na jamii inayopendana, kama tukipendana haya yote hayawezitokea.. Ninaimai huyu dada akifanyiwa health history tutapaja jawabu linalorandana ku kupendana sisi kwa sisi. Ni hayo tu kwaleo.

    ReplyDelete
  34. sisi tukisema kuna uchawi nyinyi hakuna sasa huo ndio uchawi wenyewe huyo mdada ni mchawi

    ReplyDelete
  35. Dah! jamani jamani jamani !Mungu tusaidie wengine wanatafuta watoto hawapati na wengine ndo wanawaharibu watoto wao !Inauma sana na kusikitisha sana lazima atakuwa na matatizo ya akili au anasumbuliwa na jini mahaba! Aende akaombewe !Mungu msidie mtoto huyu aliye fanyiwa kitendo hiki,umwepushe kuwa na roho ya ukatili kama mama yake!soooooooooo saaaaaaaaaad kwa kwli dada Dinnah!

    ReplyDelete
  36. kwa kweli huu ni usodoma kabisa !ana pepo maana mwanamke wa kawaida hawezi kunfanyia mwanae wa kumzaa kitendo kama hiki!

    ReplyDelete
  37. hazimtoshi, akapimwe au aombewe!!!

    ReplyDelete
  38. mjinga kabisa huyo, apelekwe milembe.

    ReplyDelete
  39. Yaani natamani apewe adhabu kali sana hata kunyongwa ila kutokana na maneno aliosema kuwa hajielewi na muonea huruma sana
    wako James

    ReplyDelete
  40. Dina Nilikusikiliza sana that day na nilipandwa na hasira sana mpk nikapaki gari yangu pembeni niendelee kksikiliza lkn picture ya huu Dada mbona hafanani na matendo yake? Dunia kweli njia nipe mawasiliano yake huyu Dada

    ReplyDelete
  41. mwanao wa kuzaa mwenyewe undeliverable inasikitisha, Amelaaniwa

    ReplyDelete
  42. nimefuatilia maoni ya wadau wote,maoni ya wengi ni lawama tupu kwa huyo mwanamke na kumuhukumu. wachache wamejaribu kuangalia huyu dada anakotokea na kuhisi kuwa atakuwa na matatizo na si akili ya kawaida.wapendwa watanzania wenzangu,jmn tusiwe wepesi wa kuhukumu tujaribu kuangalia chanzo kitakuwa nini.kweli kitendo alichofanya huyo mama kwa mtoto ni kitu kibaya sana.kwanza tuchunguze km huyu mama ni mzima wa akili,baada ya kuelewa akili yake iko kwenye hali gani,kutokea hapo ndio tutajua wapi pa kumuweka.

    ReplyDelete
  43. anaakili zake timamu kwanini alimwambia asimwambie mtu,mtu asie jijua asingekumbuka kumwambia usimwambie mtu ni mjinga tu inaonekana amefanyiwa sana sana yeye

    ReplyDelete
  44. Haya yote mmesema nami ngoja niseme yng huyo dada ni jirani yng na alikuwa hamsagi km mnavyosema bali kutokana na ugumu wa maisha aliona bola aanze kumbikili mtoto wake mapema na amtumie kibiashara ya kumuuza kingono na kuna mibaba ilikuwa inafunga kwa huyo dada kula raha ya huyo kinda na kulikuwa na bei. tofauti ukitaka mmmmm bei nyingine na ukitaka keki bei inapanda na wakati anaanza kumuingiza hiyo mipingo mwanzoni huyu myoto alimuhoji mama yake mama kwanini unanifanya hivi?jibu la mama lilikuwa nakuandalia maisha yako ya kujiuza ili uweze kukabiliana na maisha tunauoishi c unaona buguruni kuna dangulo watoto miaka 13-15- wapo wanajiuza je walianza wakiwa na miaka mingapi

    ReplyDelete
  45. Tatizo kashajua kuna kufungwa na kuuliwa ndio maana kasema maneno hayo. ili jamii imtambue ni mgonjwa kama hataki kuwaona binadamu kwanini asijinyonge mwenyewe mpaka asubiri kuuliwa. bado sijakubali huyu dada ni mzima kabisaaaaaaaaaa. kama mnabisha mulizeni aunt sadaka mtapata jibu.

    ReplyDelete
  46. Mimi tangu nimeisikia hii kwenye hekaheka naogopaaaaaaaa! nakosa imani kwa kila mtu. Mungu tusaidie kama ni matukio ya ajabu tuuu tumeyasikia na kuyaona pia, tuhurumie watoto wako m
    dhibiti shetani asiendelee kutuumiza jamaniii. Roho inauma sana.

    ReplyDelete
  47. huyo anayesema ni jirani yake, haoni kama ameshiriki na anastahili adhabu mbele ya jamii? kama aliyajua yote hayo amewezaje kunyamaza kimya na hali akitambua ulinzi wa nchi hii ni jukumu la kila mtanzania na watoto si wa walioshika mimba peke yao bali ni kila raia wa nchi ni mwanae? akae kimya kama ameweza kaa kimya muda wot huo.

    ReplyDelete
  48. Mi nadhani atakuwa na ugonjwa au laana

    ReplyDelete
  49. huyo mama ahukumiwe kwa mujibu washeria

    ReplyDelete
  50. ina maana anaishi yeye na mtoto wake au kuna watu wengine na kama kuna watu wengine hawajawahi kumuona akimfanyia ukatili huo nimeumia sana nikiwa kama mama yaani badala ya kuhofia watu wa nje sasa tumekuwa wenyewe ndio wahusika.

    ReplyDelete
  51. Mmmmmh hii nikali sijawahikusikia .kweli hizi ni nyakati za mwisho tumuombeni mungu kwa bidii haya yote hayatatokea.

    ReplyDelete