Thursday, March 15, 2012

BI KIDUDE UNA MAWAZO???

Sijui alikuwa anawaza nini!!?huwa ananifurahisha sana nikimuona tu na maneno yake mbavu zangu nazishikilia.Kwanza hata kama hakujui atakusalimia kama mnafahamiana hapo hapo ataanza kukupigisha story mara akupe vichambo vya hapa na pale.

1 comment:

  1. Dina unamchokoza bi Kidude!!!! atakupa lako moja utalifikiria mwaka mzima, shauri yako.

    ReplyDelete