Thursday, March 15, 2012
BI KIDUDE UNA MAWAZO???
Sijui alikuwa anawaza nini!!?huwa ananifurahisha sana nikimuona tu na maneno yake mbavu zangu nazishikilia.Kwanza hata kama hakujui atakusalimia kama mnafahamiana hapo hapo ataanza kukupigisha story mara akupe vichambo vya hapa na pale.
1 comment:
Anonymous
March 16, 2012 at 6:38 AM
Dina unamchokoza bi Kidude!!!! atakupa lako moja utalifikiria mwaka mzima, shauri yako.
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
‹
›
Home
View web version
Dina unamchokoza bi Kidude!!!! atakupa lako moja utalifikiria mwaka mzima, shauri yako.
ReplyDelete