Monday, March 12, 2012

KWA WAPENZI WA FILAMU ZA MAJUU,UNAFAHAMU HII?

Yule mwanadada mkorofiiii,ana maneno balaaaaaaa katika movie hii
Anaitwa Tasha Smith jina halisi lakini hapa alikuwa akitumia jina la Angela

Ana twin sister wake ambae wamefanana balaa

Twin wake anaitwa Sindra Smith ambae muda wote huwa ametupia kipara style kama Flaviana Matata vile.

Tasha wengi tumemjua zaidi katika why did i get merried nafikiri ule uhusika wake wa ukorofi.Ameshakuwepo katika movie kibao tu kama Pastor brown,Daddy's little girl,Couples retreat,The corner,red soil,jumping the broom na nyingine nyingi.

Shamim upo hapo mama maana huyu huwa unamzimikia sana.

24 comments:

  1. alinifurahisha tu katika muvi hii alipoulizwa na wenzie kwa nini wanagombana gombana na waubavu wake alijibu "this is how we love each other"

    ReplyDelete
  2. ata mi nampenda sana the way alivo yani anajimin kuliko maelezo,vipi uyo pacha wake una stori zake natamani kujua yeye yuko vipi, afu dina Kwanini msiwe mnatuchambulia muvi za majuu siku moja moja katika leo tena? msitubanie jaman tunazipenda.

    ReplyDelete
  3. She's NOT a big star na movie zake zote ni flops tofauti na nyie huko Bongo mnavyomzania. Hana sinema ya maana zaidi ya hizi za series za Tyler Perry, na ndiyo maana huku hana jina kubwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nenda kule hujaulizwa kama ana jina kubwa au la naona uko nje ya mada pumbavu wewe anzisha blog yako utuwekee sinema za maana

      Delete
    2. we nawe,,we una jina kubwa,,,

      Delete
  4. Kuna serises inaitwa for better or worst yupo, anaendeleza ukorofi kama kawa...director ni T. Perry mwenyewe.

    ReplyDelete
  5. Jaman huyu mdada alinifurahisha sana kweny hii movi thank's but siku izi utuwekei move za kuangalia wkend ss wapenda MOVE plz

    ReplyDelete
  6. Whatever anonymous no3.. we love her and we enjoy anavyocreate drammaz.
    We nuna tu, utakufa cku si zako..

    ReplyDelete
  7. Anonymous 3 anataka tujue kuwa yeye hayuko bongo yupo majuu ndo maana anaponda kiaina lakini aina haja ya kuzunguka na kutukatisha tamaa ungesema tu wewe ni fulani uko nchi fulani tungejua tu, majuu sio big deal kihivyo.

    ReplyDelete
  8. huyo anony no 3 anajishaua tu.mi nampenda kama nini coz katika habari ya kuuvaa uhusika utapenda tena mimi nlimpenda zaidi katika ile part 2 yaani[ why did i get married too] kama hujaiona dina kaitafute. it iz very interesting

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwa kweli anajishaua hana lolote,,hata mi nampenda hasa anavyoigiza ukorofi korofi,,

      Delete
  9. Ni lazima upende wanachopenda huko? hii ni safari yake kuwa na jina kubwa kujifanya kujua kumbe ushamba tu unawasumbua kuishi us si kila kitu!

    ReplyDelete
  10. Ha haa wabongo cc tuna shida sasa wewe wa majuu unajifanya unajuuuua!!!? Ulisikia wapi nabii anaheshimika kwao?uko mnamchukulia poa ila uku yupo juu tu sana,na ushauri wa bure acheni sifa za kijinga pigeni kazi kama wakenya mrudi kuwekeza kwenu. Usikute wewe hapo ata kwenu hukumbuki uko busy na fashion na kupiga domo,looh mbaya sana ! Huwafikishie ujumbe na wenzako pigeni kazi punguzeni ulimbukeni .

    ReplyDelete
  11. bwana Tasha ni muigizaji mzuri sn,mi nampenda sn,naamini ata comments nying umu ndani zitakua za upendo 2 kwake,ss uyo anaemuona hana lolote kisa yuko US,cc uku tunamachaguo yetu,na Tasha tunamuona ni bomba sn ktk uigizaji

    ReplyDelete
  12. wapige kazi gani? sio wote wana kazi za maana baadhi yao wanafagia barabara usiku, wanaosha vyombo hotelini,ukiwakuta wanasugua misufuria huwezi amini, wanawapangusa xxxx vibibi na vibabu vya kizungu huko wanakolelewa wakirudi bongo wanajifanya matawi mi nawaangaliaga tu.

    ReplyDelete
  13. nyambaf ukweli ndo huo nipige box au nitawaze vibibi lakini nachapa kazi nalipwa hela ambayo wewe unakula miezi 6 kenge weee! mtabaki kujishauwa lakini nadegree yangu nikija huko mnanipapatikia nakuwa CEO wenu mtajibeba. ukweli nimewaambia ni kama hapa kumkuza msanii mchanga ambae kacheza filam moja tena sean fupi sana ambayo ada hajtumia 15minutes

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huna lolote, kama wewe humpendi kimpango wako. uje uwe CEO wa nani?unafikiri kampuni gani inatetemekea degree za nje? kama ni hicho kimombo hata watoto wa nursery siku hizi wanaongea.wewe endelea kufagia barabara na kuosha masufulia na xxx za wazungu sie tunakusubiri bongo na hizo ndoto zako za mchana za u CEO

      Delete
    2. hahahaha eti CEO,,,ota hivo hivo

      Delete
  14. Dina we c mtu wa movie za story ndo mana umemjulia Tasha smith kwenye why did i get married,ana movie nyingi sana ameact mpaka na Denzel,wewe mtu wa sinema Rambo nini?

    ReplyDelete
  15. Nini Rambo....comando kipensi,michael didikof,tazani,van damme,bol yank,jackie chan,jet lee,shwaziniga,sinsiya rock,bill bilanks,brusi lee,check noris,james bond,...hawa ni wa zamani nikutajie wapya???
    tuje kwenye point ya msingi naangalia movie ya aina yoyote ile kuanzia comedy,stories,action,horror nk
    Tanya nimemuona before kama umesoma maelezo vizuri utanielewa ila kwa wengi wamemjulia kwenye hiyo movie..sawa??!

    ReplyDelete
    Replies
    1. asante kama hawakuelewa mwanzo hawawezi kuelewa tena wasikuchoshe dada

      Delete
  16. kwkwwkwkwwkwkwkwwk mimi penda yeye sana wakuwache tasha uwe msanii usie na jina au mwenye jina sie haituhusu... we uliejuu et unaringia degree uwiiiiiiiiiiiiii poleeeeeee

    ReplyDelete
  17. kwkwwkwkwwkwkwkwwk mimi penda yeye sana wakuwache tasha uwe msanii usie na jina au mwenye jina sie haituhusu... we uliejuu et unaringia degree uwiiiiiiiiiiiiii poleeeeeee

    ReplyDelete
  18. hi dina nina desperate house wives season 8 episod zote kwa anayetaka.The best series ever

    ReplyDelete