Monday, March 12, 2012

MASHINDANO MENGINE MHH!!

Shindano kwa wafuga mbwa....je wewe na mbwa wako mna fanana?





Ilifanyika nchini Uingereza katika shindano linaitwa Crufts 2012 ambalo huusisha mbwa katika category tofauti tofauti.

1 comment:

  1. du hii kali maana naona kila mmiliki wa mbwa kafanana na mbwa wake mwenyewe au mwaonaje wadau?

    ReplyDelete