Yule mwanadada mkorofiiii,ana maneno balaaaaaaa katika movie hii
Anaitwa Tasha Smith jina halisi lakini hapa alikuwa akitumia jina la Angela
Ana twin sister wake ambae wamefanana balaa
Twin wake anaitwa Sindra Smith ambae muda wote huwa ametupia kipara style kama Flaviana Matata vile.Tasha wengi tumemjua zaidi katika why did i get merried nafikiri ule uhusika wake wa ukorofi.Ameshakuwepo katika movie kibao tu kama Pastor brown,Daddy's little girl,Couples retreat,The corner,red soil,jumping the broom na nyingine nyingi.
Shamim upo hapo mama maana huyu huwa unamzimikia sana.
alinifurahisha tu katika muvi hii alipoulizwa na wenzie kwa nini wanagombana gombana na waubavu wake alijibu "this is how we love each other"
ReplyDeleteata mi nampenda sana the way alivo yani anajimin kuliko maelezo,vipi uyo pacha wake una stori zake natamani kujua yeye yuko vipi, afu dina Kwanini msiwe mnatuchambulia muvi za majuu siku moja moja katika leo tena? msitubanie jaman tunazipenda.
ReplyDeleteShe's NOT a big star na movie zake zote ni flops tofauti na nyie huko Bongo mnavyomzania. Hana sinema ya maana zaidi ya hizi za series za Tyler Perry, na ndiyo maana huku hana jina kubwa.
ReplyDeletenenda kule hujaulizwa kama ana jina kubwa au la naona uko nje ya mada pumbavu wewe anzisha blog yako utuwekee sinema za maana
Deletewe nawe,,we una jina kubwa,,,
DeleteKuna serises inaitwa for better or worst yupo, anaendeleza ukorofi kama kawa...director ni T. Perry mwenyewe.
ReplyDeleteJaman huyu mdada alinifurahisha sana kweny hii movi thank's but siku izi utuwekei move za kuangalia wkend ss wapenda MOVE plz
ReplyDeleteWhatever anonymous no3.. we love her and we enjoy anavyocreate drammaz.
ReplyDeleteWe nuna tu, utakufa cku si zako..
Anonymous 3 anataka tujue kuwa yeye hayuko bongo yupo majuu ndo maana anaponda kiaina lakini aina haja ya kuzunguka na kutukatisha tamaa ungesema tu wewe ni fulani uko nchi fulani tungejua tu, majuu sio big deal kihivyo.
ReplyDeletehuyo anony no 3 anajishaua tu.mi nampenda kama nini coz katika habari ya kuuvaa uhusika utapenda tena mimi nlimpenda zaidi katika ile part 2 yaani[ why did i get married too] kama hujaiona dina kaitafute. it iz very interesting
ReplyDeletekwa kweli anajishaua hana lolote,,hata mi nampenda hasa anavyoigiza ukorofi korofi,,
DeleteNi lazima upende wanachopenda huko? hii ni safari yake kuwa na jina kubwa kujifanya kujua kumbe ushamba tu unawasumbua kuishi us si kila kitu!
ReplyDeleteHa haa wabongo cc tuna shida sasa wewe wa majuu unajifanya unajuuuua!!!? Ulisikia wapi nabii anaheshimika kwao?uko mnamchukulia poa ila uku yupo juu tu sana,na ushauri wa bure acheni sifa za kijinga pigeni kazi kama wakenya mrudi kuwekeza kwenu. Usikute wewe hapo ata kwenu hukumbuki uko busy na fashion na kupiga domo,looh mbaya sana ! Huwafikishie ujumbe na wenzako pigeni kazi punguzeni ulimbukeni .
ReplyDeletebwana Tasha ni muigizaji mzuri sn,mi nampenda sn,naamini ata comments nying umu ndani zitakua za upendo 2 kwake,ss uyo anaemuona hana lolote kisa yuko US,cc uku tunamachaguo yetu,na Tasha tunamuona ni bomba sn ktk uigizaji
ReplyDeletewapige kazi gani? sio wote wana kazi za maana baadhi yao wanafagia barabara usiku, wanaosha vyombo hotelini,ukiwakuta wanasugua misufuria huwezi amini, wanawapangusa xxxx vibibi na vibabu vya kizungu huko wanakolelewa wakirudi bongo wanajifanya matawi mi nawaangaliaga tu.
ReplyDeletenyambaf ukweli ndo huo nipige box au nitawaze vibibi lakini nachapa kazi nalipwa hela ambayo wewe unakula miezi 6 kenge weee! mtabaki kujishauwa lakini nadegree yangu nikija huko mnanipapatikia nakuwa CEO wenu mtajibeba. ukweli nimewaambia ni kama hapa kumkuza msanii mchanga ambae kacheza filam moja tena sean fupi sana ambayo ada hajtumia 15minutes
ReplyDeleteHuna lolote, kama wewe humpendi kimpango wako. uje uwe CEO wa nani?unafikiri kampuni gani inatetemekea degree za nje? kama ni hicho kimombo hata watoto wa nursery siku hizi wanaongea.wewe endelea kufagia barabara na kuosha masufulia na xxx za wazungu sie tunakusubiri bongo na hizo ndoto zako za mchana za u CEO
Deletehahahaha eti CEO,,,ota hivo hivo
DeleteDina we c mtu wa movie za story ndo mana umemjulia Tasha smith kwenye why did i get married,ana movie nyingi sana ameact mpaka na Denzel,wewe mtu wa sinema Rambo nini?
ReplyDeleteNini Rambo....comando kipensi,michael didikof,tazani,van damme,bol yank,jackie chan,jet lee,shwaziniga,sinsiya rock,bill bilanks,brusi lee,check noris,james bond,...hawa ni wa zamani nikutajie wapya???
ReplyDeletetuje kwenye point ya msingi naangalia movie ya aina yoyote ile kuanzia comedy,stories,action,horror nk
Tanya nimemuona before kama umesoma maelezo vizuri utanielewa ila kwa wengi wamemjulia kwenye hiyo movie..sawa??!
asante kama hawakuelewa mwanzo hawawezi kuelewa tena wasikuchoshe dada
Deletekwkwwkwkwwkwkwkwwk mimi penda yeye sana wakuwache tasha uwe msanii usie na jina au mwenye jina sie haituhusu... we uliejuu et unaringia degree uwiiiiiiiiiiiiii poleeeeeee
ReplyDeletekwkwwkwkwwkwkwkwwk mimi penda yeye sana wakuwache tasha uwe msanii usie na jina au mwenye jina sie haituhusu... we uliejuu et unaringia degree uwiiiiiiiiiiiiii poleeeeeee
ReplyDeletehi dina nina desperate house wives season 8 episod zote kwa anayetaka.The best series ever
ReplyDelete