Wednesday, March 14, 2012

MARA NYINGI HUWA NASEMA SASA DUNIA IMEVAA BUKTA ILA KWA SASA NAONA IMEVUA BUKTA IMEBAKI NA CH**I

Wanasema uchungu wa mama aujuae mama mzazi.Toka mimba miezi tisa mpaka kuzaa kwa uchungu na hatimae kulea.Imesemwa pia mama ndio Mungu wa pili hapa duniani kwa mtoto wake.Pia wanasema mwalimu wa kwanza kabisa wa mtoto duniani ni mama.
Lakini ndugu zanguni dunia ya sasa tunasikia na kuona mengi.Mimi leo lakusema nimelikosa mwili tu ulinisisimka mpaka nywele nikahisi zinasimama.Asma Makau ndio alishindwa kabisa kujizuia kulia.Mtoto mdogo wa miaka 7 wa kike ameharibiwa vibaya sehemu zake za siri za mbele na nyuma na mama yake mzazi wa kumzaa.Uliza anamfanya nini?mama huyo aliekosa haya amekuwa akimsaga mwanae huyo kwa kumuingizia uume wa bandia mbele na nyuma sehemu ya haja kubwa.Mtoto mbele hapafai nyuma hapafai mpaka imefika sasa mtoto amezoea kabisa huo mchezo.Mengi ya kukueleza sina sikiliza kesho  leo tena kwenye hekaheka ya leo saa tano na robo.

35 comments:

  1. Ni kiwa kama mzazi na najua mtoto alivyo mtamu siamin kama huyo mama ni mzima .sielewi serikali na jamii itamfanyaje huyo ni wa kuuwawa tujapo ni makosa kuhukumu apasae hukumu ni Mola tu .siangejisaga mwenyewe kuliko mtoto .Ya Rabi Mungu viumbe tumekosa na ikiwawewe ndo Mungu watoe roho mapema viumbe wasio na imani

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli nafikiri huyo mama ni mgonjwa wa akili addicted sex maniac

      Delete
  2. NIKWELI DINA UCHUNGUA MWANA AUUJWAYE MZAZI.. MI SUBHAAN LAAH DINA MWISHO WA DUNI UMEFIKA MUNGU AMESHA TUPA DALILI ZOTE....NILIDHANI KWA WALIYO ZAA TU KUMBE UCHUNGU HATA KWA MLEZI MI NILIMLEA MTOTO WA KUANZIA MIEZI 2 NA MPAKA SASA ANA MIAKA 6 KWAKWELI AKITOKEA HATA KUUMWA NAKUWAGA KTK WAKATI NGUMGU KIASI KWAMBA MPAKA NALIAGA HAPO NDIYO NIKAJU UCHUNGU WA MWANA C WAKUMZAA TU PIA WAKULEYA...NIFAHAMISHE NATAWEZA KUSIKILIZA KIPI CHAKO KWA MUDA WANGU COS MUDA TUNA PISHANA SANA....NIMEJARIBU KUTAFUTA HUKU SIJAFANIKWA...

    ReplyDelete
  3. jamani jamani jamani.sijui hata niseme nini.huyo mama afungwe maisha,na huyo mtoto apate ushauri nasaha.dina tunashukuru kwa redio yenu,mimi nipo uk,huwa sikosi kusikiliza hekeheka kwa kupitia mtandaoni.ikifika jumaapili,taarab sizikosi siku hizi.saa 9 uk,kwa tz ni saa 12.

    ReplyDelete
    Replies
    1. dunia imeishaaaaaaa inahuzunishaaaaa

      Delete
  4. uwiiiiiiiiiiiiiiii yesu na maria!mwili wanisisimkaje kusoma iyo hbr???????ina mna uyo mama wanaume wote waliojaha jmn?mbona ivyo ss?uyo mama achukuliwevsheria jmn cna mtto ila nasikia uchungu kma wangu au najua uwo uchungu.

    ReplyDelete
  5. ndio maana uilamu una adhabu za mtu kuuwawa kwa makosa kama haya. huyu hana faida ya kuishi duniani ni kuuliwa tu. hatokuwa na utetezi wowote utakaohalalisha vitendo hivyo.

    ReplyDelete
  6. Mmh! Dina kweli dunia sasa imekwisha!!! Maana kila kukicha na matukio ya ajabu!! Bora kiama kije tujue mwisho wa dunia umefika basi.

    ReplyDelete
  7. kweli sansa Mungu ashuke tu hiki nini jamani mbona kina mama tunakuwa hivi kwa kweliiiiiiiiiiii dah Dina kila uchao linakuwa jipya juzi dada wa nyumbani anawafanyisha ngono watoto nikaona huyu hana uchungu sasa hili li mama ni mapepo gani yalompata jamani dah...

    ma FM

    ReplyDelete
  8. dah sina la kusema ila sina muda wa kusikiliza hicho kipindi nakuomba sana dina kama una picha na chochote kitakachoendelea kwa huyo mama tujuze.

    ReplyDelete
  9. Huyo mama ana akili timamu kweli??? Ana mume???

    ReplyDelete
  10. Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
    Sijawahi sikia au kuona MAMA km huyu DUNIANI!!!!

    Kisensi.

    ReplyDelete
  11. Jamani nimeshindwa kuamini mama mzazi??? je mwana wa mwenzio atamfanyaje sasa? achukuliwe hatua kali, nimekaukiwa maneno dunia imekwisha

    ReplyDelete
  12. idumu clouds fm, mnasaidia wanyonge kwa kuwasemea. Gea mungu akupe kila lililojema dada unafanya kazi ambayo hata sijui nisemeje. unafungua wengi kutoka katika vifungo vya mateso,uonevu na hata kutusaidia kuwa makini. BE BLESSED MUMMY.
    .
    lily

    ReplyDelete
  13. nafikiri huyo mama enzi za usichana wake alikuwa msagaji so ameamua kumfundisha mtoto wake ili kuendeleza tabia hiyo.but sio vizuri kwan anaharibu future ya mtoto wake.ABBAS wa morogoro

    ReplyDelete
  14. yani huyo mama ni mshenzi sana kama kusagana si angeenda kuchukua machangu yamejaa tele kuliko kumtesa mtoto na kumharibia maisha kwa kweli alaanike na anyongwe hana umuhimu duniani mshenzi sana huyo!! km ningemjua sijui ningemfanyaje ameniudhisana!

    ReplyDelete
  15. Speechless...sijui kwa nn Mungu anayaacha haya yote yatoke...inauma sana kwa kweli...

    ReplyDelete
  16. mmh,nimekisikiliza kipindi cha leo tena,kutoka kwenye internet,maana nipo nje ya nchi.sijui hata nianzeje,ila ninahisi huyo mama,kuna kitu kilimtokea,na nina amini sio mtoto wake tu,aliemfanyia hivyo,bado kuna watoto wengine anawafanya hivyo.na huyo mtoto asaidiwe kiakili,kwani na yeye anaweza kuwafanyia watoto wenziwe,au akiwa mkubwa anaweza kuwafanyia watoto.mtoto mpaka anamuogopa mama yake.iwe funzo kwa watoto wetu,ukimuona mtoto anabadilika tabia,jaribu kuchunguza

    ReplyDelete
  17. Mungu wangu!kuna mambo wanadamu wanafanya huku duniani hata shetani mwenyewe anaogopa na kutushangaa. how can you do this to your own child?mnauhakika ni mama yake kweli aliyemzaa kwa uchungu au lah!!!hivi mtoto anavyoupa hivi mtu unawezaje?unaanzaje?
    kwa kweli Mungu atuokoe na kizazi hichi kilichopotoka.

    ReplyDelete
  18. huyo mwanamke ni wakupigwa mawe mpaka afe, sidhani kama nibinaadamu wa kawaida ni shetani alolaaniwa.

    ReplyDelete
  19. mh nimesikiza nimeishiwa nguvu kabisaa

    ReplyDelete
  20. Uwiiiii Mungu shuka mwenyewe utuokoa katika janga hili!

    ReplyDelete
  21. mama double m -mwanzaMarch 15, 2012 at 2:57 AM

    Dina,
    nimekosa hata la kusema.
    Hivi kweli huyu mama ana akili nzuri????
    Yaani natamani nimuone nimng'ate japo jicho lake moja apate maumivu. Kwanini hakujiingizia mwenyewe?
    Alikuwa anamfunza nini huyo mtoto?
    Napata masawli ambayo wa kunijibu hi mhusika.

    Nasikitika sijaweza kupata nafasi ya kukusikiliza kwenye hekaheka, naomba utu-update hapa hapa if possible.

    ReplyDelete
  22. i swear huyo mdada na yeye alifanyiwa na mmoja wa wazazi wake so alikuwa kama analipiza, ukiangalia kimtaani utamuhukumu huyo mdada wa watu, lakini haya mambo ukiyaangalia vizuri utakuja kuona hata yeye mwenyewe ameharibiwa kiakili. na wakati anatenda kwake hakuona ubaya wowote hule, kwani hata yeye mwenyewe katendwa na anajiona yuko sawa, kwake yeye ilikuwa ni kawaida tu, anahitaji mtaalaam wa kumsaidia na siyo kumtokomeza, asilimia kubwa ya mabasha na wasenge wa kwetu hapa bongo udogoni kwao kuna kitu wamefanyiwa, hii kitu siyo ya kuchukulia juu juu na kuhukumu. namuonea huruma sana huyo mtoto pamoja na mzazi wake pia. ningelikuwa tz dina ningekuomba hiyo familia unipatie mimi, amini ningekupatia lipoti ambayo ingekushangaza mno, why hiyo familia kitu cha kwanza walichofanya siyo kumpeleka polisi??? kuna mengi sana ndani ya hiyo familia ambayo yanahitaji yaje nje, poleni sana!

    ReplyDelete
  23. eeeeh....Yesu wangu,Mwili wote umenisisimka nikikumbuka pale labor na ule uchungu,huyo mama hakika afungwe maisha au apigwe mawe mpaka kufa......

    ReplyDelete
  24. mtume dunia imekwishA DIANA HUYU MAMA NI MWANAE KWELI WA KUMZAA JAMANI YANI..MAANA MTOTO ALIVYO MCHUNGU UWEZI KUMFANYIA MTOTO WAKO HIVYO MUNGU ATAMSAIDIA HUYU MTOTO..

    ReplyDelete
  25. eeeee mungu tusamehe waja wako, wakati wengine tunawasaka kwa shida hivyo wengine wanaadhibu, pamoja na hamu ya kupata watoto tunakuomba mwenyezi utujaalie kuwa wazazi wema. amen

    ReplyDelete
  26. hata kama yeye akifanyiwa na wazazi wake ndo alipize kwa mtoto alomonea uchungu siku ya kuzaa, siamini kama mwanae labda kamuokota au anaamini ushirikina.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata kama si wako Mungu huwezi kufanya hivi its so bad

      Delete
  27. Mmeiona na ile ya mchina YU aliyeung'ata uume wa mtoto wake na kuutema? Katoto kako hospitali wameurudishia uume mahala pake ila hawana uhakika kama utafanya kazi yake kama kawaida.

    ReplyDelete
  28. kwa haya tunahitaji huruma ya MUNGU tu mana mwili wooote unsisimka nashindwa kuelewa kabisa jameni mama mzazi!!!!! duh

    ReplyDelete
  29. mhh yaani jana sikubahatika kusikiliza sababu nilichoka na shule na huku USA tunapishana masaa kumi na tatu, kwa hiyo jana nilichoka sikusikiliza, ila leo nikaona nijikaze nizuie usingizi kama vile nilihisi nitasikia kitu cha ajabu. Kweli inasikitisha sana. Nimemsikiliza ant Sadaka nimemuelewa vizuri na kama inawezekana ni vema akaenda kuongea na huyo dada ili ampatie msaada. Huku kwa wenzetu kitu kidogo tu, ukisema hata mwanaume kakugusa (fondle)tu unafanyiwa counselling. ifikie nasi tuwe tunafuatilia matukio manake siku hizi binadamu tumekuwa wanyama kabisa. Nampa Gea hongera sana kwa kutuhabarisha haya matukio ambayo huwa yananielimisha sana.Pamoja na kwamba niko mbali na nyumbani na familia pia bado nafarijika ninaposikiliza clouds hasa power breakfast, leo tena na jahazi. Asanteni sana kwa habari nzuri ila tuombe sana ubinadamu uturudie

    ReplyDelete
  30. Mungu wangu mweeeeeeeeeeh tumbo linauma da Dinnah huu siyo ubinadamu alichofanya huyu dada ni ushetani kabisa nadhani hata shetani atakuwa anamshangaa kwa kweli inauma sana sna sana tena kwa mtoto wa kumzaa !!!!hivi hakuona uchungu wakati wa kujifungua au? haiingiii akilini hata kidogo ni lazima ana jini mahaba huyu dawa akaombewe yamtoke! Na ashindwe kabisa kwa jina la Yesu!

    ReplyDelete
  31. Mungu wangu weeeeee......Kweli dunia imeisha...

    ReplyDelete
  32. Huyo Dada ana mapepo inabidi aombewe na kufanyiwa ushauri.
    Winnie

    ReplyDelete