Monday, March 12, 2012
MASHINDANO MENGINE MHH!!
Shindano kwa wafuga mbwa....je wewe na mbwa wako mna fanana?
Ilifanyika nchini Uingereza katika shindano linaitwa Crufts 2012 ambalo huusisha mbwa katika category tofauti tofauti.
1 comment:
Anonymous
March 18, 2012 at 7:36 AM
du hii kali maana naona kila mmiliki wa mbwa kafanana na mbwa wake mwenyewe au mwaonaje wadau?
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
‹
›
Home
View web version
du hii kali maana naona kila mmiliki wa mbwa kafanana na mbwa wake mwenyewe au mwaonaje wadau?
ReplyDelete