Tuesday, March 6, 2012

SWIMMING TIME

Jumapili hii kulikuwa na joto la hatari tukaamua kwenda zetu kuogelea Hotel De Mag iliyopo mwananyamala.Kufika pale watoto kibao ikabidi tutulieIkiabidi tutulie tuwaache watoto wajiachieMoonshine a.k.a KimodoHuyu dada hakutaka kuonekanaShadee na CousinGiza lilipoingia wadada wakaingia kuogelea mie sikuwa na mzuka tenaShadeeKawaida kuogelea mwisho saa kumi na mbili ila waliacha mpaka saa tatu usiku.

16 comments:

  1. mh aya bwana wana dar es salaam

    ReplyDelete
  2. Pole dada Dinah, sasa na wewe unakwenda kuogelea Mwananyamala! Ninachojua mwananyamala kuna hospitali ya sisi akina yakhe!

    Nenda White sands at least kuna hadhi yako!

    ReplyDelete
  3. EEEEEEEEEEH MWANANYAMALA TENA? UNA SWIM WATU WANAKUCHUNGULIA!

    ReplyDelete
  4. Bora hukuogelea, watoto hao walikuwa wanakojoa humo!

    ReplyDelete
  5. Nenda kweny swiming pool za maana na wewe,hapo hata huyo guide anakutamani!

    ReplyDelete
  6. dina naomba utuwekee heka heka ya wema sepetu, nimeangalia kwenye list siioni. Na ushauri tu ungeandika hata tarehe kutofautisha kipindi cha leo au cha wiki ya juzi ay cha mwaka jana. viandike tarehe please.
    tunasubiria hiyo heka heka ya wema

    ReplyDelete
  7. dina tunakwambia kila siku,usipende kuvaa nguo nyeusi,cause wewe ni mweusi so azikutoi kiivyo,badilika bana...ila napenda unavyojichanganya na mabest zako,ila tafuta unaolingana nao sio hao watoto kina shadee,ni ushauri tu ukiamua potezea.

    ReplyDelete
  8. we na gea wachokozi sana mnacheka mpk uyo mama atajiona mjinga kwa aliyoyajibu kuhusu wema aya friend kikazi zaidi

    ReplyDelete
  9. hahaaaaa sikio la kufa halisikii dawa

    ReplyDelete
  10. Dina Heka heka jaribu kuweka tarehe..ili kutofautisha na pia iwerahisi kupata.......weka heka heka ya Sepetu.....

    ReplyDelete
  11. WATU USHAMBA UTAWAUWA,ETI SI UNGEENDA WHITE SAND?KWANI LAZIMA MNAONA DINNA MSHAMBA HAJAWAHI KUFIKA MAENEO HAYO?NYIE AMBAO HAMJAWAHI KUFIKA HUKO NDIO MNASHOBOKA NA KUJIKWEZA.DINNA WEWE WA UKWELI POPOTE UNAKWENDA..LOVE U MORE.

    ReplyDelete
  12. musa kakuchoresha mpk yamekutoka msneno,haya happy woman day friend

    ReplyDelete
  13. Out of topic: Dina blog yako mvuto unaanza kupotea mimi nilikuwa mmoja wa fans wako, lakini siku zinavozidi kwenda inaanza kuboa, hu update blog yako kama ilivokuwa zamani, hata siku ya wanawake hujapost kitu! write something on an event like that!ili blog iwe na mvuto lazima uwe unaweka updated info, local and worldwide sijui kama unaelewa what i mean. ila ni ushauri tuu!

    ReplyDelete
  14. Shadee mbona swimming na minguo kibao na minguo mizito!!!!!!!!

    ReplyDelete
  15. nyie wote ni washamba huyo dina hana uzuri wowote

    ReplyDelete
  16. wewe ndio mshamba kwani lazima uangalie hii blog pumbavu,dina mzuri sana na anapendeza akivaa chochote wewe tu na roho mbaya yako,maisha ya dina hayakuhusu

    ReplyDelete