
Jumapili hii kulikuwa na joto la hatari tukaamua kwenda zetu kuogelea Hotel De Mag iliyopo mwananyamala.

Kufika pale watoto kibao ikabidi tutulie

Ikiabidi tutulie tuwaache watoto wajiachie

Moonshine a.k.a Kimodo

Huyu dada hakutaka kuonekana

Shadee na Cousin

Giza lilipoingia wadada wakaingia kuogelea mie sikuwa na mzuka tena

Shadee

Kawaida kuogelea mwisho saa kumi na mbili ila waliacha mpaka saa tatu usiku.
mh aya bwana wana dar es salaam
ReplyDeletePole dada Dinah, sasa na wewe unakwenda kuogelea Mwananyamala! Ninachojua mwananyamala kuna hospitali ya sisi akina yakhe!
ReplyDeleteNenda White sands at least kuna hadhi yako!
EEEEEEEEEEH MWANANYAMALA TENA? UNA SWIM WATU WANAKUCHUNGULIA!
ReplyDeleteBora hukuogelea, watoto hao walikuwa wanakojoa humo!
ReplyDeleteNenda kweny swiming pool za maana na wewe,hapo hata huyo guide anakutamani!
ReplyDeletedina naomba utuwekee heka heka ya wema sepetu, nimeangalia kwenye list siioni. Na ushauri tu ungeandika hata tarehe kutofautisha kipindi cha leo au cha wiki ya juzi ay cha mwaka jana. viandike tarehe please.
ReplyDeletetunasubiria hiyo heka heka ya wema
dina tunakwambia kila siku,usipende kuvaa nguo nyeusi,cause wewe ni mweusi so azikutoi kiivyo,badilika bana...ila napenda unavyojichanganya na mabest zako,ila tafuta unaolingana nao sio hao watoto kina shadee,ni ushauri tu ukiamua potezea.
ReplyDeletewe na gea wachokozi sana mnacheka mpk uyo mama atajiona mjinga kwa aliyoyajibu kuhusu wema aya friend kikazi zaidi
ReplyDeletehahaaaaa sikio la kufa halisikii dawa
ReplyDeleteDina Heka heka jaribu kuweka tarehe..ili kutofautisha na pia iwerahisi kupata.......weka heka heka ya Sepetu.....
ReplyDeleteWATU USHAMBA UTAWAUWA,ETI SI UNGEENDA WHITE SAND?KWANI LAZIMA MNAONA DINNA MSHAMBA HAJAWAHI KUFIKA MAENEO HAYO?NYIE AMBAO HAMJAWAHI KUFIKA HUKO NDIO MNASHOBOKA NA KUJIKWEZA.DINNA WEWE WA UKWELI POPOTE UNAKWENDA..LOVE U MORE.
ReplyDeletemusa kakuchoresha mpk yamekutoka msneno,haya happy woman day friend
ReplyDeleteOut of topic: Dina blog yako mvuto unaanza kupotea mimi nilikuwa mmoja wa fans wako, lakini siku zinavozidi kwenda inaanza kuboa, hu update blog yako kama ilivokuwa zamani, hata siku ya wanawake hujapost kitu! write something on an event like that!ili blog iwe na mvuto lazima uwe unaweka updated info, local and worldwide sijui kama unaelewa what i mean. ila ni ushauri tuu!
ReplyDeleteShadee mbona swimming na minguo kibao na minguo mizito!!!!!!!!
ReplyDeletenyie wote ni washamba huyo dina hana uzuri wowote
ReplyDeletewewe ndio mshamba kwani lazima uangalie hii blog pumbavu,dina mzuri sana na anapendeza akivaa chochote wewe tu na roho mbaya yako,maisha ya dina hayakuhusu
ReplyDelete