Monday, March 12, 2012

WEEKEND HAIKUWA NA MAKEKE MENGI


Ilikuwa Afro lounge na kina Janet,Jasmin na Alex.

15 comments:

  1. Dinna inaonekana ulipania sana ukakurupuka nyumbani ukasahau hata kuvaa saa. Dinna badilisha hicho kiwig basi tangia wakusifie kinakupendeza ndo basi tena hutaki kubadilika!sukia weaving au weka wigi aina nyingine naamini utakuwa bomba pia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi wewe umekaa kabisa unaandika eti Dina kakurupuka kasahau kuvaa saa! Saa ya Dina we inakuhusu nini? Yani unampangia mtu mpaka nini avae. Next time kindly show us your picture so that we can see your fine self.....hater!

      Delete
  2. Dina mbona haushine bwana na hii ni kutokana na choice ya nguo zako na rangi zake plz hebu angalia rangi yako umbo plus rangi ya nguo black inakufanya unafifia sana hujapendeza at all halafu unaonekana una mawazo au ni stress za upweke nini?

    ReplyDelete
  3. Hi Dina,
    nimependezwa saana kwa jinsi ulivyofanikiwa kuupunguza mwili wako.keep itup but plz naomba ufanye mazoezi zaidi ya tumbo hope ukiwanikiwa kwenye hili utakuwa bomba sana na pengine ukawa na mwonekano wako wa miaka tisa iliyo pita.


    regards,

    Godfriend aka super face

    ReplyDelete
  4. waooh dina mmependeza kwakwel,,hii sehemu iko wap?it"s a cool place,nimeipenda

    ReplyDelete
  5. ULIPENDEZA MREMBO BUT UMEONEKANA HAUKUWA HAPPY SIJUI NANI KAKUBOA MREMBO...

    ReplyDelete
  6. yaan mimi kuna watu huwa wananishangaza sana sasa kuvaa saa ndo umeona ishuuu. kuvaa au kutovaa saa ni uamuzi wa m2 ucmpangie.........

    ReplyDelete
  7. Dina enjoy ur life don't mind wat they say, at the end of the day its ur life ,its ur choice, we unaesema dina ana stress za upweke hujitambui ata kidogo, cut the clap n mind ur own bness. Rmbr sio kila siku ni sherehe.

    ReplyDelete
  8. Mambo, naomba kuuliza....... What are the official names of Janet wa kipindi cha Ongea na Janet clouds TV? Huyu ni yule Janet aliyeanziaga BINGO ya ITV, then akapata kazi ya utangazaji,akawa anaitwa JANET SOSTHENES MWENDA , baadaye akabadili jina kuwa JANET MWENDA TALAWA?. Kama ni yeye majina yanatuchanganya. Tunaomba Government names zake, itapendeza kama wewe ulivyo Dina Marios,simple , good and clear.

    ReplyDelete
  9. Dinna naona una wapenzi wengi mpaka wengine wanaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe nakushauri uandae event itakayokutanisha wapenzi wako wote na mie nikiwemo ili uweze kuchat nao wote, yaweza kuwa dinner au cock tail party au chochote mashabiki wako wakaja kwa kiingilio atlest ukawajua kwa sura they will feel good, otherwise watashushuana humu mpaka basi kuna wengine hawataki usemwe hata kidogo! aha ha ha!

    ReplyDelete
  10. kwakweli hasa mimi sitaki mumseme kabisa dina wangu nampenda sana huyu dada barikiwa kila siku kuanzia unapoamka mpaka unapolala,achana na heitaz hawakwepeki hao wala wasikuumize kichwa dada yangu

    ReplyDelete
  11. hii sehemu ni wapi, maana ukituambia kwa nani sijui bila kututajia eneo tutashindwa kumuungisha.

    ReplyDelete
  12. Yaani mimi nampenda kiasi nashindwa hata kuelezea njisi ninavyo mpenda Dinna ila nazidi kukuombe kwa mungu akujalie afya njema na maisha marefu dina wangu mamaa
    Wako
    James

    ReplyDelete
  13. Love you dina, I like they way you present.goodluck in your career

    ReplyDelete