Mamba analiwa Dinah, pale bagamoyo wanapofuga mamba aliwahi kutueleza kuwa huwa anauza sana sana nyama yake uarabuni, tena kwa bei ghali, na alitueleza kuwa ni tamu sanaaaaa
mamba analiwa, nakumbuka bagamoyo wanapofuga mamba aliwahi kutuambia kuwa wanauza sana nyama ya mamba uarabuni na yeye huwa anakula, alisema ni tamu sana
dina wapi tena hii jamani mamba analiwa du!
ReplyDeleteMamba analiwa Dinah, pale bagamoyo wanapofuga mamba aliwahi kutueleza kuwa huwa anauza sana sana nyama yake uarabuni, tena kwa bei ghali, na alitueleza kuwa ni tamu sanaaaaa
ReplyDeletemamba analiwa, nakumbuka bagamoyo wanapofuga mamba aliwahi kutuambia kuwa wanauza sana nyama ya mamba uarabuni na yeye huwa anakula, alisema ni tamu sana
ReplyDeleteduh hataaaaaarii!!
ReplyDeletehii nadhani ni West Africa manaake kule wajaamaaa mmmm, hapa itakua ni bush meet, hapo chacha
ReplyDeletehpna bdo sijala!
ReplyDeletemmh tena anaechinja mwanamke,
ReplyDelete