Sunday, April 22, 2012

KATIKA KUTEKELEZA AZIMIO LA APRIL SAFARI YETU YA SINGIDA...

Team nzima ya leo tena tutakuwa katika mkoa wa Singida,Dodoma na Morogoro.Kwanza kabisa tunaanza na singida 89.8 clouds fm inasikika.Safari ilianza jana alfajiri.Mimi kama kiongozi wa msafara,Said Bonge,Susy,Gea,Perfect wa club 10 na cameraman wetu kutoka clouds tv Pdidy.
Supu na chai tuliinywa mida ya saa nne Morogoro hiyo.Katika safari hii diet nimepumzika mpaka nikirudi.

12 comments:

  1. you can still be in diet like,taking a lot of water n fruits,have a very normal lunch n less of dinner,the changes in life can't stop us from persuing what we want,right?you are the hero dina,aren't you?that's wat life wants you to do by now,touring here and there,thats wat ya career wants you to do,wat about wat you want sweet??best of lucks dear,am here far frm ya world but still can reach you clearly....much love!!!

    ReplyDelete
  2. we kula tu apo naona kitu cha mchemsho kuku unataka kujinyima ili iweje. we zngatia huli vitu vya mafuta mengi na rehem nyingi. jitahidini kuwashauri sana kina dada maana chipsi nazo ni silent killer

    ReplyDelete
  3. Nawatamania ...kusafiri kuna raha yake jamani na Tanzania yetu ilivyo beautiful yaani raha kweli. Wishing u ol the best.

    ReplyDelete
  4. Hebu jilie bibi kidogo..huko njiani vitamu vingi bwana yaani we acha tu.

    ReplyDelete
  5. Dina usafiri gani hu dad yetu

    ReplyDelete
  6. Dina wewe njanja kweli umeona tutakuuliza chapati na diet wapi na wapi ukaona bora utuwahi make waswahili hatukawii aha ha ha ha !

    ReplyDelete
  7. Dina acha uroho banaaaa!!! unaona utakosa kuzifaidi nyama za Singida nini?

    ReplyDelete
  8. Dina acha uroho banaaaa! unaona utazikosa nyama za singida nini?

    ReplyDelete
  9. Kusema ukweli dinna me napenda sana kusafiri hasa safari za kutumia private car,nawatamanije hapo...naona mnaenjoy sana, vilevile inapunguza sana stress,hongera mamaa,maana najua PDM za nguvu hapo.gea jamani mwambie apungue kidogo anaelekea kubaya sasa.

    ReplyDelete
  10. Safari njema Dina, huwa nakufeel sana wewe dada basi tu sina jinsi ila napenda ulivyo, kuanzia macho yako,height, lips hadi skin color, I wish ...........Huwa sikosi ku visit blog yako ili niwe nakuona tu kila siku.

    ReplyDelete
  11. mungu awabariki katika safari yenu.

    ReplyDelete
  12. pochi yako nzuri sana Dinna

    ReplyDelete