Tuesday, April 3, 2012

HABARI ZA JIONI??

Habari ya jioni mdau,mie ndio nimetoka ofisini muda si mrefu saa moja kasoro.Kazi ni nyingi mwezi huu mwanafamilia wa leo tena clouds fm Dodoma,Morogoro na Singida tutakuwa mkoani kwako.Si mkoani kwako tu bali mtaani kwako mpaka nyumbani kwako.Pia mwezi huu kama ilivyokuwa mwaka jana kuna TUZO ZA DADA BORA WA KAZI ZA NYUMBANI.Asubuhi niliahidi kukuandikia juu ya ile kesi ya ASHA MKWIZU lakini muda sikupata kazi za wenyewe zinabana.Kesho nikifika tu ofisini jambo la kwanza ndio hilo.Uwe na jioni njema na usiku mwema pia.

13 comments:

  1. safi lakini Dina unafanya tuingie kwenye blog yako maramkwa mara kujua nini kinaendelea.Asante sana!

    ReplyDelete
  2. thankx dina nilikuwa nasubiri ngoja na mie nikalale

    ReplyDelete
  3. oooh my sweet Dina!!!that gorgi look of urs kips on persisting n i love it.

    ReplyDelete
  4. dina i really do envy you,keep it up

    ReplyDelete
  5. Hii ndio blog kuandika vitu vya maana si kujisifia na kujionesha onesha. Nakupenda Dina huna makuu.

    ReplyDelete
  6. mi nilidhani jamii forum wamekuzuia manake wanahisi umechukua habari kwao. Halafu utupe na hitimisho kama linyongwa, yupo jela bado au kasamehewa. more picha tafadhali kingine andikia sript tengeneza movie, wenzetu marekani wangeshatengeneza movie fasta

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alishaandikiwa andikiwa movie huyu mama kama sikusei itatoka muda sio mrefu maana hii movie ipo ina ediwa sasa

      Delete
  7. pole sana dina ila nilikuja sikukuona pole

    ReplyDelete
  8. hili shindano la dada Bora wa kazi za nyumbani liokoje? niahabarishe maana dada wangu is one of kind. perfecto!!!! na nampenda kama mdogo wangu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shindano hili lilianza mwaka jana lengo nikutambua umuhimu wa kazi hii.Kwa kuwapa thamani wafanyakazi hawa wa kazi za nyumbani.Pia kuwapa mwanga wa wao kujiendeleza zaidi kwani watafanya kazi za nyumbani mpaka lini?
      Kinachofanyika wewe boss ndio unaandika barua kutupa sifa za dada wako wa nyumbani.Kwa nini anastahili kuwa bora?kwa nini azawadiwe?

      Delete
  9. Good work dada dina,keep it up.

    ReplyDelete
  10. Din atupia vitu vipya aisee, tangia juzi ni hiz pics tuu jamani?

    ReplyDelete