Kutoka hoteli tuliyofikia mpaka nyumbani kwa Aunty BoraNi mwanamke mcheshi,mkarimu,mjanja,na mpenda maendeleo.Hapa Singida ni mfanyabiashara mkubwa tu ambae ameshafanya biashara lukuki.Anasema yeye ndio mwanzilishi wa saloon hapa Singida miaka 26 iliyopita na wengine wakafuata.Na saloon yake anayompaka leo,ana maduka ya nguo.Anapamba maharusi na kukodisha nguo za harusi,anapika chakula katika masherehe na pia ni Mc katika shughuli mbalimbali.Ana miliki band ya taarab inaitwa Singida Modern taarab.Kiukweli anashughuli nyingi sana tu huyu mama.
Alitukaribisha chakula cha mchana ila hapa ilikuwa katika eneo lake la kazi.Hapa ndio kuna saloon pembeni,duka la nguo,maduka ya kuuza simu yake na mumewe na eneo la kuonyeshea mpira mechi kubwa kubwa zile za ulaya.Mboga hii ni ya Ubongo wa ng'ombe umekaangwa huo
Hili eneo tulilokaa watu wanalipa 1000 kuangalia mechi moja wale wapenzi wa soka.Anasema walianza kwa shilingi 100 siku nyingi sana na mpaka sasa 1000.Ni kaukumbi ka kuingiza hata watu 100.Kukiwa na mechi hapo watu wanabanana humo na kuangalia mpira.
Kama ulisikiliza leo tena jana jumatatu bila shaka ulimsikia akitupa story za Singida.








duuuh,mi kwanza sijawahi kuwaza kuwa mama and responsible coz am scared ila it seems its okay,coz as i can see huyo ni mama wa familia na pia mfanyabiashara so hata mim naweza kuhandle carrer n family,right dina?i think so jamani so impressive..dina watufunza mengi watu wenye akili zetuu usione tu watu twapenda blog yako ingawa hamna picha za mbwembwe,ha ha haaa....endelea kuwa dina plz
ReplyDeleteKila kitu kinawezekana acha uoga my dear...ishi.Maisha ndio haya huyo mama ana watoto wawili na mjukuu mmoja ni mama wa ukweli ukikutana nae ndio utajua nisemacho.Anajituma katika mishemishe za kila siku na familia yake kwa ujumla.Bado yupo pamoja na mumewe wanapendana sana
DeleteI know auntie bora! Singida ni kwetu everytime nikija Likizo lazmaa nimchekii!
ReplyDeleteShe is a half woman half man and I really admire her!
Nimefurahi kumuona hapa!
Hi dina.mimi binfsi nna penda mwanamke anaye jituma na kujali familia kwa ujumla kuna wanawake wengine wakishakuwa biashara imewakubali au kazini anafanya sehemu nzuri basi hata majukumu ya familia anayasahau kwakuwa anajuwa kutafuta.anabomoa familia yake kwa mikono yake baadae anjidai mume wangu haja tulia kumbe yeye ndio kamwehua.mume anatamani ale alichopika mke wake hakioni toka alikula mapenzi ya mwanzo mama yuko busy kila kitu house girl. Wakati angeweza kumwambia huyo house girl andaa hiki na hiki mwenyewe amkorogee mumewe.nimempenda huyo mama kwa kujituma na anavyo jali familia.
ReplyDeletePicha zaidi za aunt Bora na contacts zake muhimu!
ReplyDeleteTupo safarini kuelekea singida, huenda akawa mwenyeji wetu.