Monday, April 23, 2012

KATIKA MITAA YA SINGIDA

Hapa ilikuwa stand kuu ya hapa Singida mjini.Wanafamilia ya clouds fm wengi tulikutana nao hapo.

5 comments:

  1. Hi sasa ndio napendaga sana nataka kila wakati uniambie unafanya nini. maana nakupenda sana ndio maana kila mara natembelea blogi yako nikikuta hakuna kitu naumia sana. by Eggy

    ReplyDelete
  2. Ama kweli clouds Fm ni redio ya watu... munajua kujichanganya

    ReplyDelete
  3. Mule mule mnafanya kitu ambacho ni cha pekee sasa mi nipo dar naomba niwe familia ya cloudsfm nifanyeje?
    wawaache cloudsfm hawawafikii hata kwa miaka mia minane
    mi na clouds baaaaasi

    ReplyDelete
  4. Mule mule mnafanya kitu ambacho ni cha pekee sasa mi nipo dar naomba niwe familia ya cloudsfm nifanyeje?
    wawaache cloudsfm hawawafikii hata kwa miaka mia minane
    mi na clouds baaaaasi

    ReplyDelete
  5. jaman dina umenikumbusha maeneo ya hom kabisaaaaaaaaaaaa, huyo dada wa zam zam nawajua kabisa dada angu loh

    ReplyDelete