Sunday, September 14, 2014

MABINTI WA PRESIDENT OBAMA

Malia na Sasha wamekuwa hao wakati baba yao anaingia madarakani walikuwa madogo.Kingine naona ni vile warefu maana baba na mama warefu watoto watazidi Malia naona kashampita mama yake tayari kwa urefu.

6 comments:

  1. Mmmh, pamoja na maumbile, sijui nani atarithi kipaji cha baba yake

    ReplyDelete
  2. ndio maana yake....

    ReplyDelete
  3. Sasha mrembo hatari, na urefu asizid hapo, hatapendeza, atakuwa kama abnormal!!

    ReplyDelete
  4. Nawapenda sana Shasha na Malia, hakika sichoki kuwaangalia. Ona walivyokuwa haraka!! hadi furaha moyoni.

    ReplyDelete
  5. Ila Obama naona kabisa ni kipenzi cha Maria yani ni hand by hand na bintiye Maria kila wakitoka

    ReplyDelete
  6. DU HIYO FAMILIA NIKIANGALIA HUWA INANI IMPRESS. GOD BLESS THEM.

    ReplyDelete