Friday, September 19, 2014

MY HOBBY....MAUA


6 comments:

  1. Hizo stend sijuwi stand za maua ni nzuri haswaaa,.. nimejifunza kitu hapa

    ReplyDelete
  2. Dina naomba namba ya simu zinakopatikana hizo stand za maua..

    ReplyDelete
  3. mimi sio mjuzi sana wa maua ila dada dina,nakupongeza sana kwa mazingira kama hayo.usije ukaacha mama zion

    ReplyDelete
  4. Nimezipenda sana hizo stand za maua ila mie niko mkoani so sina la kusema na mie hobby yangu ni maua kama wewe big up Dina!!

    ReplyDelete
  5. mazuri sana da Dina na stend ndo inapendezesha zaid

    ReplyDelete
  6. Hizo pot za rangi tofauti tofauti zimependeza sana nimezipenda haswa pamoja na stend zake zinapatikana wapi da Dina.

    ReplyDelete