Wataalam wa mambo wanasema kwa siku tunapaswa kunywa maji glass nane.Ila kama unatatizo la kutopenda kunywa maji hii tip inaweza kukusaidia.
*Kunywa glass moja ya maji kila baada ya lisaa limoja.Masaa nane yakifika tayari utakuwa umekunywa glass nane.Fanya hivi kwa mwezi mmoja baada ya hapo utajikuta imeshakuwa tabia yako.
Boost your water drinking ability....then Kula tende 2 na glass 1 ya maji.
ReplyDelete