Thursday, July 31, 2014

UBUNIFU,CHUPA YA MAJI INAVYOWEZA KUGEUZWA KUWA TAA NZURI YA UREMBO

Hapo kilichotumika ni chupa ya maji,vile vijiko vya plastic vinayeyushwa na kubadika na kutokea pambo zuri la kuwekea taa kama linavyoonekana.Mambo ya ubunifu hayo.

4 comments:

  1. wao ni nzuri sana inapendeza, ubunifu mzuri sana.

    ReplyDelete
  2. Nampongeza sana huyo msanii, nikitu hasa cha kupendezesha madhari ya ndani,ila naomba kujua je kama utawasha taa kwa muda mrefu halitayeyuka?

    ReplyDelete
  3. Safi sana.. hii taa
    iko poa sana..ubunifu wa hali ya juu

    ReplyDelete
  4. Wooow, I like the creativity. Mungu amsaidie ubunifu wake huu uweze kumtoa kimaisha

    ReplyDelete