Kikundi Cha Unity Of Women Friends, kupitia mradi wao wa Mwanamakuka Awards na washirika wake, Benki ya wanawake TWB na Cloud Entertainment group. Wana masikitiko makubwa kwa kumpoteza mshindi wa mwaka jana 2013, Bi Aziza Mbogolume.
Amefariki leo mchana, na anatarajiwa kuzikwa kesho saa tisa mchana nyumbani kwake Magomeni.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi,amina.
du may her soul rest in peace
ReplyDeleteJamani.....Eeeh Mungu awape ujasiri ndugu, jamaa na marafiki kuita katika kipindi hiki kigumu na kisichoelezeka. Poleni wafiwa!
ReplyDeleteElmmy
Jamani, Pole kwa familia.
ReplyDeletePolen ndugu,marafiki,majiran na wanafamilia ktk kipind hik kigumu
ReplyDeleteMay her Soul Rest in Peace Amen.
ReplyDeletepoleni zaidi wanafamilia
ReplyDeletebwana ametoa na ametwaa jina lake libarikiwe,AMEN
ReplyDeleteR.I.P bi Aziza
ReplyDeletePumzika Kwa amani Bi Aziza
ReplyDeletePoleni wafiea
ReplyDelete