Thursday, September 4, 2014

NAMNA UPWEKE UNAVYOGUSA MAISHA YETU YA KILA SIKU


Kama katika mazingira yako ya nyumbani,mtaani,shuleni,kazini,au popote kuna mtu umenotice yupo hivi jaribu kuongea nae.Sometimes upweke hupelekea mtu kutaka kujiua kulingana na jambo linalomla ndani kwa ndani.Utakuta mtu anatabia ya kukaa ndani tuuu labda ni mpangaji mwenzio yeye akiingia ni ndani hatoki njee anatumia muda mwingi amejifungia mara nyingi kuna tatizo.Hata hapo nyumbani unakuta akirudi yeye ni chumbani tuuu hataki kujichanganya labda.Mwingine anaweza kuwa ni mtu wa furaha na tabasamu usoni lakini anaficha ukweli kuwa yu mpweke kwa sababu mbalimbali zilozojitokeza kwenye maisha yake.Tujaribu kuwagundua mapema na tuongee nao na watufungulie mioyo yao.
*
*Dada dina cares itatembelea nyumba za kulelea wazee katoka siku ya wazee duniani mwezi ujao tunakukaribisha kutuletea chochote kama chakula,mavazi,sabuni na mafuta nasi tutaviwasilisha.

14 comments:

  1. Inshaalah Mungu akujalie kama itawezekana dada Dina aomba siku hiyo niwepo kwa hao wazee namba yangu ni +255 755 998 319 Please .

    ReplyDelete
  2. Dina umependeza mama had raha, hongera sana! Waliokuponda o umejiachia sana now let them talk another things. Gud for u mama zion!

    ReplyDelete
  3. samahan dada dina nywele zako umeweka dawa gani zimependeza nataka niweke zangu ni fupi kiasi. asante.

    ReplyDelete
  4. samahan dada dina nywele zako umeweka dawa gani zimependeza nataka niweke zangu ni fupi kiasi. asante.

    ReplyDelete
  5. Ni funzo zuri kwa kweli, upweke unaangamiza wengi!
    Umependeza mno.

    ReplyDelete
  6. kweli nywele zimependeza twambie badi dina

    ReplyDelete
  7. Dina hata mie mpweke sana. Yaani nilikua na mahusiano yakaishia vibaya na tangu 2012 hiyo nipo mpwek kweli. Sijisikii kujichanganya na marafik zangu, nasikia wivu kwa marafiki walioolewa, nikipata muda wa binafsi nakuaga peke yangu yani sina raha kabisa. Nimewaza mara nyingi kuhama nchi sikufanikiwa nahisi kuchanganyikiwa. Matokeo yake ninekua mtu wa hasira sana yani kwakweli natamani nife ila kujiua siwezi.

    ReplyDelete
  8. DINA TUELEKEZE ULIPOTENGENEZA NYWELE ZAKO.ZINAVUTIA UMEPENDEZA SANA.

    ReplyDelete
  9. jaman wewe dada pole sana mpenzi. ila they are just men na hayo ni mapito husijione kama umepoteza sana kwa kuumizwa, you are still young and beautiful and its not too late to dream a new dream. jiamin kuwa wewe ni mwanamke mzuri na you are a desire of every man. upweke husitawale maisha yako jitaidi kujichanganya tafuta watu unaowaamini na wambie how you feel hope you will get some relief wengi hayo tumeyapitia na kwa sasa tuna furahia maisha, don't worry you are not the only one.

    ReplyDelete
  10. u look mwaa!! katika maisha kuna kipindi lazima upitie kipindi ambacho unasikia upweke hata kama umezungukwa na watu la msingi ni kuwa na ndugu na marafiki wako unao waamini.

    ReplyDelete
  11. ninaishi katika hali hiyo ya upweke. afadhali mchana ninapokuwa ofisini ninaona watu na kujichanganya nao. inapofika usiku duh, we acha tu. siku moja nikamuuliza Mungu, "hivi mungu kwanini mimi sifi, ili nikapumzike?" usiombe upweke

    ReplyDelete
  12. Kweli hiyo hali inatesa, wengi tunaishi katika hali hii. Mungu atutetee tu, sio siri inaumiza yaani unachokiona ni kutamani kuishi mbali na dunia hii ( cjui ni wapi sasa).

    ReplyDelete