NI JAMBO JEMA KUJIWEKEA UTARATIBU WA KUSOMA VITABU MBALIMBALI
Juzi ijumaa nilinunua kitabu hiki hapa na tayari nimeshaanza kukisoma.Ni kizuri na kinakupa changampoto na miongozo mbalimbali katika maisha binafsi na kazi kwa ujumla.Mie sio msomaji saaaana wa vitabu lakini najitahidi kusoma kadri niwezavyo.
Nikikutana na wale wauzaji wa vitabu lazima nichambue chambue nione ntapata kipi.Na waazimaji wa vitabu naomba msijisahaulishe mrudishe ahhahahahahaha msijali sitawataja loh.
ACHA MAUJIKO KIINGEREZA CHENYEWE HUKIJUI.
ReplyDeletenaomba unijulishe nitapata wapi hicho kitabu kimenigusa mdada. wote tunajifunza kingereza hata waingereza nao pia hawakijui iwapo wamezaliwa nacho, kelele za chura hazimnyimi punda kunywa maji.
ReplyDeleteSONGA MBELE USISIKILIZE YA WATU. FUATA USHAURI WA WATU WALIOFANIKIWA NA SIO WALE WALIOKWAMA KIMAISHA.
ReplyDelete