Kesho jumapili tutamalizia na washiriki wengine wawili wale walioingia hatua ya tano bora.Ukitaka kumpigia kura anayekuvutia kuwa anastahili andika neno MK acha nafasi kisha jina lake kwenda namba 15678.Na ni kwanjia ya simu.
Kesho jumapili tutamalizia na washiriki wengine wawili wale walioingia hatua ya tano bora.Ukitaka kumpigia kura anayekuvutia kuwa anastahili andika neno MK acha nafasi kisha jina lake kwenda namba 15678.Na ni kwanjia ya simu.
Mungu akubariki dadangu,this is so touching and inspiring..
ReplyDeleteKazi nzuri,Hongera sana.
ReplyDeleteDuu safi sana nakupongeza kwa kuwa na aidia mpya ya kuwasaidia wanawake waliyo wahi kuthubutu.. Naomba kura yangu iende kwa huyu mama aliyekuwa akipika keki akakwama.. ni mimi NIWA MBAGA
ReplyDeleteMimi nipo nje ya nchi sijui nitawezaje kupiga kura, au tuambie tunafanyaje, lakini kwa kweli nimemzimikia Bi Tatu kwangu mimi ni mwanamke wa shoka, ameanguka lakini anaanza kusimamia magoti, she is a fighter.
ReplyDeleteNimempenda huyu mama! Ananonekana ni BINTI MWANAMAKUKA kweli! Mjasiria mali wa kweli hakati tamaa.
ReplyDeletehai dina mambo?u look so sex gal,luck is the man sleeping with u the whole nit
ReplyDeletevery interesting,wazo zuri idea nzuri,tumalizie na hao washirik wengine ili tupige kura
ReplyDeleteKumbe ulifika meneo ya kwetu, ningelijua siku hiyo tungekutana, karibu tena
ReplyDeleteNimependa sana hiyo idea ya kuwawezesha wanawake wajasiriliamali,keep it up mdada!
ReplyDeletesure dina upo juuuuuuuuuuuu ...... ebwana mautunsu yako yako juuuuuuu mbaya..... just visit wwww. letehabaritz.blogspot.com tusheee mautundu au siyo pamoko sana
ReplyDeleteDina hongera sana dada yangu kwa kazi unayoifanya wewe ni mfano wa kuigwa! God bless u!
ReplyDeletemama wa keki yupo juu
ReplyDelete