Wednesday, March 28, 2012

KIJIJI CHA INYUMBU MKOANI DODOMA CHA NUFAIKA NA VISIMA KUTOKA VODACOM FOUNDATION

Mkazi wa kijiji cha Inyumbu  Mkoani Dodoma Bw.Samwel Chindombwe  akisalimiana  na Mkuu wa Mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom Tanzania(Vodacom Foundation) Yessaya Mwakifulefule,baada ya  kukabidhi msaada wa mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 40 katika kijiji hicho.

3 comments:

  1. VODA INATIA MOYO JAMANI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hongera kwa vodacom, kwa kweli wanaisaidia sana Serikali kwa kutoa misaada. Maji ni kitu muhimu sana!! makampuni kama hayo ndiyo yanayotakiwa.

      Delete
  2. haa leo nimejua umri wako chezea gea ww ha ha ha by the way unakimudu kipindi cha leo tena tangu miaka iyo nasikiliza mpk leo cjaboleka bado,ila mwanangu ndo amekazania dunia yako chaguo lako.

    ReplyDelete