Friday, March 30, 2012

LULU YUPO MIKONONI MWA WILDAF KWA SASA

Dada Jackline kutoka WILDAF juzi alienda mwananyamala kwa mama mjumbe kumchukua mtoto Lulu ili kujua kwa kina nini kinamsibu.Watakaa na nae na kumtengeneza mazingira ya yeye kuwa huru na kusema nini hasa kinamsibu mpaka anakimbia nyumbani.Ni kipigo tu au kuna lingine?Pamoja an baba yake kuwa na mikwara mingi mpaka sasa taarifa tulizonazo amekubali kushirikiana na WILDAF ili kutatua tatizo la mwanae.
Lulu kwa pembeni kwenye picha akiondoka kwa mjumbe na dada Jack muda wote alikuwa akicheka tu na tabasamu tele.

4 comments:

  1. HIVI..................UMEPANGA NOT TO HAVE CHILDREN????????? AU BADO UPO UPO KWANZA??????

    ReplyDelete
  2. mm ndo nasema kama unajiona huwezi kulea mtoto unamzalia nn uje kumtesa hapa duniani, hivi ss mama kama huyo anajivunia nn kwa mwanae unaenda kusaidiwa kulea na wanawake wenzio unajionaje, inasikitisha sana

    ReplyDelete
  3. Hongera Gea! kazi nzuri mamito!!!

    ReplyDelete
  4. Jamani Dina, Hivi hao wazazi bado wako uraiani tu. Mi nielekeze mtaa wanapokaa nikawafundishe jinsi ya kukaa na watoto. Mungu wangu

    ReplyDelete