Picha ilipigwa mwaka 1983 wakati akipelekwa polisi..Ni mwanamke aliyewahi kufanya mauaji ya kutisha kwa hawara wa mumewe mwaka 1983.Hukumu yake ilitolewa mwaka 1985 ikiwa ni hukumu ya kunyongwa.Ni moja kati ya kesi kubwa zilizowahi kutokea katika historia enzi za mwalimu.
Kwenye leo tena jana ulisikiliza kijuu juu,leo nina story kamili ilikuwaje.Nikimaliza kipindi nitakusimulia kwa sasa naingia studio.
THANK YOU DINA WE WILL BE WAITING MAMA.
ReplyDeleteKweli Dina umenikumbusha hii stori ilikuwa ya kutisha sana na ilisikitisha sana, Ukatiri wa hali ya juu wa kumchinja mtu na kumzika wakati ulimkaribisha nyumbani mwenyewe !
ReplyDeleteDuu, dina yaani nasubili kwa hamu maana i was not aware of that.
ReplyDeleteHi Dina, Dont miss niko nakusubiri, Wanawake huwa ni wapole lakini wakikasirika kaa mbali""""
ReplyDeleteIngekuwa siku hizi sijui wangechinjwa na kunyongwa wangapi kwa jinsi ilivyo so common watu kutoheshimu ndoa zao na ndoa za wenziwao. Mungu atunusuru na hasira kali za namna hiyo, siwezi mpa mwanaume bichwa kwa kumpiga au hata kumuua mwanamke mwenzangu, nitampisha taratibu aone kama yaliyompata kibeku na ungo hayatamkuta!
ReplyDeleteYes umenikumbusha alikuwa anaishi upanga mtaa wa lugalo na mume wake alikuwa Dr. wa muhimbili pia alikuwa na watoto wawili
ReplyDeleteNaomba nikusahihishe, alikuwa na watoto watatu wa kuwazaa, na mmoja wa kambo
ReplyDeleteladies ndo tujifunze mwanaume asikuharibie maisha yako umekuja peke yako duniani utaondoka peke yako, kama kafall in love na mwingine na aishie tu maisha yanaendelea mambo ya kukaa jela milele si mazuri manake sidhani kama wananyongwaga kweli
ReplyDeletejamani mama huyu yuko huru na sasa ni booonge la mlokole!!
Deletehaya tujuze ambao tulikuwa bado kuzaliwa.
ReplyDeleteChanzo ni wanawake, kwanini utembee na mume wa mwenzio si utafute wako, Acha utani jamani kuchukuliwa mume inaumaaaaaaaaaaa, mbaya uwe tayari una watoto sijui watatu umeshaanza kuzeeka, utakuwa mgeni wa nani. Kwa sasa tunasema utampisha utafute maisha mengine kwa sababu umri unaruhusu fikiria una miakaa 45 labda, mmefanya maendeleo mengi sana kwa kushare. Alafu vibinti vyenyewe vilivyo na maneno machafu, kashfa JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
ReplyDeleteWanaume wengine wakikutongoza hawakwambii wameoa Bilu
DeleteAlafu we mwanamke una akili timamu kweli unatembea na mume wangu alafu uwe rafiki yangu ufike mpaka kwangu, Mimi nina roho ya chuma nikufurahie utembee na mume wangu inaingia akilini kweli.
ReplyDeleteBilu miaka 45 wala sio ya kutisha hivyo mie nini 45 hata nikiwa na miaka 50 mwanaume akiniletea upuuzi na upumbavu wa wanawake wengine, tena hawa wasichana wadogo wala sikimbizani nae, yaani ninamuacha mchana kweupee jua la sita linawaka. Jamani age aint nothing but a number, isitoshe wanawake muinvest kwenye elimu jamani hiyo elimu yako hatoichukua mtu utajua namna ya kudeal na dunia peke yako bila mwanaume au utampata mwanaume mwingine ambae na yeye katendwa.
ReplyDeleteNarudia tena simpi mwanaume satisfaction ya kujiona yeye ni wa kugombewa, tupa kulee maisha yanasonga. Hivi una miaka 45 ujikute jela kisa? Mwanaume? Hapana, mimi nina miaka 44 na ninajipenda sana kwa kweli siwezi jiharibia furaha na maisha yangu kwa ajili ya mtu mwingine.
Kweli nakubaliana nawe, wakati wa kulia eti umri umeenda tupa kule. Eti nikaue mwanamke mwenzangu kisa mume no way...sasa si unaona alosota jela hapa ni nani...wamtaka yule si mie then sepa...
Deleteeeeh jamaniii huyu mwanamke mwezutu jamaniii cjui huo ujasiri aliupata wapii maana alifanya kitendo kizitoo kupita uwezao wa mwanamkeee kwa kwelii mkono wa MUNGU uwe juu yakeeee
ReplyDelete,nimeolewa ila cwez amewapa wanawe hali gumu,guyz that iz nt a solution inabid tubadilike umemuuwa huyo anaweza mfata mwingine ukwel inauma ila asiwe wa kukupotezea direction,wanawake tuamke tujishughulishe huo ndo msaada
ReplyDeleteHuyu hakuwa hawara tu, alikuwa ni "mchumba" ambaye anategemea kuolewa na huyo baba. So, mke mkubwa alimuita "mwenzie" ili waongee kuhusu suala hilo, akaja ndo yakamkuta.
ReplyDeleteIla uhusiano wa marehemu na mkw mkubwa haukuwa wa siri.
Mwenzenu yupo nje anapeta, alikaa ndani less than 15 years.
ReplyDeleteless than 15yr ndio nini? be specific
DeleteTafuteni na story ya Mwivano Kupaza, just google the name. Todate, sijui niamini lipi, whether aliuawa na kaka yake au wifi yake au nani. But kaka yake amefungwa maisha Wisconsin though hakuna concreate evidence kama ni yeye ndio alicommit that offence.
ReplyDeleteMh inabid tuitafute mana dunia inavituko yani mungu atusaidie ila dada dina atatuletea kwa nguvu za mungu ila nasi tuoitafute wadau.
ReplyDeleteKUUA SIO JIBU LA HILO TATIZO LAKINI WATU WAKAE WAKIJUA UKITERMBEA NA MUME WA MTU MWENYE MUME AKIJUA UNA HATARI YA KUPOTEZA MAISHA YAKO KWANI NI JAMBO BAYA SANA HASA KWA WATU MLIO KARIBU YEYE NI BINADAMU SIO AJABU KULEMEWA NA KUFIKIA KUTENDA HAYO
ReplyDelete