Wednesday, April 25, 2012

ZAWADI ZINAENDELEA KUTOKA..SASA NI ZAMU YA DODOMA

Unapotumia ubunifu wako kuonyesha mapenzi yako kwa radio ya watu unaweza kuzawadiwa.Dada hapa wa Singida alipata tsh 40,000 tshirt na kadi ya kumtambua kama mwanafamilia damu damu wa radio ya watu huyu dada anaitwa Getrude wa Singida alijishindia hizo zawadi.
P.didy,Bonge,Gea,Getrude,mimi,perfect,Elisante na aliyechuchumaa ni Eric(producer)

1 comment:

  1. Hongereni sana na huyo dada ubunifu ulokwenda class

    ReplyDelete