NMuda nilokaa nyumbani kuanzia kipindi nipo likizo ya uzazi nimejikuta nafanya vitu nilivyokuwa natamani kufanya ila sababu ya kukosa timu sikuvifanya.Mie napenda sana maua,napenda mazingira yanayonizunguka yawe safi na yenye mpangilio wa kupendeza.Napenda kupamba nyumba nina weza sio saaana ila kiasi chake kwa uwezo wangu.Nitakuwa na share na wewe baadhi ya hobby zangu.Kama kupamba,kupika,kupanda maua n.k
Nitakuwa naweka mara moja moja.Huwa na nunua maua na kopo naenda kupanda mwenyewe na hata yaliyopandwa tayari nachukua naenda kuyapamba nyumbani.Hunifanya nijisikie vizuriii na kufurahia kazi ya Mungu.
Dina umenichanya na hayo maua nimeyapenda mpk baasi natamani hata kesho nihamie kwangu nami nikapambe kwangu
ReplyDeletedina pazuriiiii na maua ni mazuri mnoo dah hongera sana
ReplyDeleteAsanteee
Deletenyc
ReplyDeletejamani panavutia sana
ReplyDeleteGood stuff
ReplyDeletehongera maua mazuri sana mi napenda sana maua
ReplyDeleteYAANI DA DINA I AM addicted to your blog , twitter , facebook instagram LAV U SO MUCH
ReplyDeleteAsanteee love you
DeleteBonge la mwanamke dina(kwa upande wangu).nakupenda na unanipa hamasa ya mambo mengi.much love !!
ReplyDeleteAsante my dear
DeleteHongera Dina, maua mazuri sanaaaaaaaaa. Naomba niwe mgeni wako kuja kuchukua mbegu
ReplyDeleteHahhahaha karibu sana
DeleteYaani we binti una mtazamo tofauti ukilinganisha na ma star wengine, yaani unafanya mambo makubwa mm mama wa 40yrs nabaki nakushangaa! Mungu azidi kukupigania na kukuongoza
ReplyDeleteHongera what's a lovely garden! Mimi naomba tu kujua nitaipataje hiyo bicycle ya kubebea maua. Naomba unielekeze inapouzwa. Natanguliza shukrani.
ReplyDeletehata mimi napenda sana maua sema kupanda sasa ndo hapo
ReplyDeleteDina wewe ni mwanamke wa mfano, tunajifunza mengi sana kupitia wewe, hata mume aliyekupata wewe hatajuta kamwe. Nakuombea awe mume bora kwako. Napenda kila kitu chako, Mungu akulinde pamoja na familia yako.
ReplyDeletedinna unasifa sana alafu unapenda sana showoff.....
ReplyDeleteGud job mama ake Zion.
ReplyDeletehakika nakupenda sana dina sijawahi kukuona zaidi ya hapa kwa blog yako ila nimetokea kukupenda sana,mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi kwenye kazi ya mikono yako
ReplyDeletemi hivyo vyungu dina.ni udongo au plastic
ReplyDelete