Nimepata taarifa hii kuwa MTOTO KAIBIWA CHANGANYIKENI JANA JIONI ANAITWA MARLYN. ATAKAE MUONA NNAOMBA ATUUSAIIDIIE KUTOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE. AAMEIBIWA NA MKAKA KANYOA PANK.
Please upatapo ujumbe huu mfowardie na mwenzako
Jamani mtoto mzuri Mungu akulinde na akupiganie akurudishe salama kwa wazazi wako.Wote Semeni aminaaaaa.
o maskini katarudishwa tu in JESUS name ... AMEN
ReplyDeletejamani kama mzazi nasikia kulia,lakini mungu wetu ni mwaminifu atamlinda na kumpigania aweze kurudi kwa wazazi wake salaama. Amina
ReplyDeleteAamen. Mungu wa mbinguni ni mkuu sana atamrudisha salama
ReplyDeleteamina
ReplyDeletemung ndiy mweny miujiza atakuwa salam na kurud salam mikonon mwa wazaz
ReplyDelete